@airtel_tanzania@MwijageMwijage Habari. Mbona router zenu zinasumbua sana. Yaani unalipia lakini haipati netwok. Mbona inakasirisha sana. Imekuwa kama toy . Pls hebu anaglieni namna ya kurejebisha hili tatizo.
@bajabiri Tukitoa mia mia muwe mnatuelewa. Sadaka nzuri ni kupeleka kwa yatima , wagonjwa na wazee wasioniweza. Hizi nyingine ni mbwembwe za dunia tu. Waleta bili za matumizi ya misikiti kila mwezi waumini wachangie, sio kujinufaisha wao