@barakaVincent_@Satobonga@Phbhimself 😂😂alafu ni km invisible 🤣🤣huwa one wala huwez mjua mtu 🤣wako kweny ka dunia kao 🤣kuna rafkiangu alikua anamdate mmoja wao ambae alikua anapigia watu muhuri wa REFERAL ya kwenda india , hururi wa Daktar wa muhimbili kbsa lakin ni feki 😂Oya watu wanapiga hela
@Satobonga@Phbhimself Wallah hii ni kweli🤣🤣ila hutomuona unaefanya nae kazi 🤣🤣utaongea nae kweny sim atakufanyia kazi alafu ataweka kitu chako sehem tu alafu atakwambia sogea sehem fulani pembn ya dust bin chukua kazi yako kweny huo mfuko😂😂hela yake unamtumia 😂😂sasa jifany tapeli
@YourFrenchFry 🤣🤣🤣 this is so me🤣 huwa naiandik txt af namtumia shogaangu nkamwambia airudishe tn kwangu ili m ionekane nimetumiwa na mtu 🤣ili kusolve mambo yangu 🤣
@mwinamilapaul2@spana_Konki Wanam attack dem kwa maneno yaliojaa chuki 😂 unaona kbsa hawa hmn jambo, wamekazan kusem dem n malaya cheap, woi sjui wapi wameon dem kaliwa 😂by the way walitegemea dem aseme hapana Asantee kwa offa yako 😂ili wamuone yuko n standard 😂khaaaii 🚮