@Advocate_Jebra Mungu akubariki Sana Jebra kw kupigania haki bila uoga Wala unafiki. Maisha yangu huwa napenda mtu anayeongea uhalisia kama ww . Napenda sana niwe kama ww
@HecheJohn Hao ni walimu njaa wanaokubali kutumika kama mapunguani wakati hata mishahara Yao huyo huyo Samia hajawaboreshea. CWT inatumiwa na CCM vibaya
@George_Ambangil Punguza ujuaji ulilamika Sana kapombe na zimbwe kutokuitwa timu ya Taifa, haya ongea Tena , heshimuni maamuz ya kocha, tumefungwa goli 7 wakiwepo, tumefungwa na Uganda nyumbani wakiwepo
@tonyelshabbaz@HecheJohn Kwan hapakuwa na Sabab za kukataa hiyo ruzuku? Mikutano ya kisiasa inafanyika au haifanyki? Magufuli aliyeiba kura yupo madarakan?