Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi kahama wakiwa darasani shule ina uhaba wa walimu pia vyumbavya madarasa. Jumla walimu wapo9 wanafunzi wapo 727. shule inatakiwa kulekebishiwa madhaifu.Hilo darasa moja ambalo lina wanafunzi156Watoto wanakaa wakiwa wamebanana @JoyceNdalichako
Hivyo ni vyoo vya wanafunzi jumla yapo matundu kumi 10, Wasichana matundu matano na wavulana matundu matano yanatumiwa na wanafunzi 727. Hii ipo shule ya msingi #kahama .Shule hii ina uhaba wa vyoo serikali itusaidie. @TZMsemajiMkuu mkuu@antashastanditiye @joyce ndalichako .
Shule hii ina uhaba wa nyumba za walimu na na vyoo ni shule ya msingi #kahama iliyopo kibondo walimu wana matundu mawili lakini tundu moja lilihalibika wanabaki kutumia tundu moja walimu wote. Tunaomba serikali ilione hilo. @IssackKatabizi @MsemajiMkuu@JosephKajuli @MagufuliJP
Tukiwa na katibu tawala #Kibondo katika maeneo ya #rusohoko huku akiwa anawahamasisha wanannchi juu ya kilimo cha biasha yaani #kahawa na #pamba. Tunashukulu sana mkuu kwa elimu yako ya kilimo uliyotupatia na tutaifanyia kazi.
Sisi walinzi H/w) Kibondo,idara ya utawala,tumeandika barua hii kuomba msaada kwa viongozi wa juu.Kwani ni miezi(8) tumenyimwa mikataba na tumenyimwa malipo,tunaendelea na kazi.tumetuma barua hizi kwa njia ya posta.Tunaomba msaada wenu. @TZMsemajiMkuu@majaliwa_kassim@TAMISEMI3
#Kigoma,Mkuu wa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Mhandisi Albert Richard akimkabidhi NW Uchukuzi & Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kompyuta 25 zenye thamani ya Tsh. mil. 45 kwa ajili ya shule za Sekondari zilizopo Wilayani Kibondo mkoani humo.
Hii itokeayo #rusohoko kuerekea #kibingo wilayani #kibondo. Kama unavyoiona hapo ni baada ya trekta kutengeneza lakni mvua ikinyesha hapapitiki magari yanayosafiri kupitia hiyo barabara yanahangaika sana.Tunaomba gazi ya juu ichukue hatua.@atashasta nditiye@billmarwa@sethilomo
Nawapenda Waraghibishi haswa wanaotumia dijital hakika tujengeane uzoefu na kuelekezana ili tuwe na mikakati ya kisasa ktk utendaji wa shughuli za kuraghibishi jamii kimaendeleo nasi tuwe na maendeleo endelevu @YahayaHassani4@bahumtma@JosephKajuli@braiton_k
#mlaghbish amemuwa chachu ya maendelo ya kijiji kasema m/kiti wa kijiji kulingana na kazi imeyofanywa na walaghbish wenyewe hivyo hana budi kutoa utambulisho wa barua kufika katika taasisi zote serikali ya kijiji @KiyadoTanzania@JonasEm03308937@JMnwele
Wilaya ya #Kibondo leo tumekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa jirani zetu Kasulu. Ukiacha uzinduzi wa miradi ya Afya, Viwanda na Elimu, Kiongozi wa mbio za Mwenge @Charles Kabeho ametoa hundi za mikopo jumla ya Tsh #58milioni kwa Vikundi vya Wanawake Vijana na Walemavu.
Kwa mujibu wa mtandao wa Google, pichani ni maneno 20 yaliyotafutwa zaidi kutoka #Tanzania kwenye mtandao huo mwaka 2017. Nimeziba baadhi ya maneno kwa sababu za kimaadili. Ila dah!! Kuna kitu cha kujifunza! #ElimikaWikiendi