Hakuna mpo vizuri watanzania. Tunaipenda nchi yetu na tuwe kitu kimoja watanzania wrote tusionyeshane vidole pasipo sitahiri. Ukweli ubaki ukweli na uongo in uongo tu.miwani ya nni ? Mungu ibariki Tanzania.@Ezrakagungu1@KefarMbogela@MabalaMakengeza
@AGwandiko Pigeni kazi vijana kwa kuchangamkia fursa kwa vitendo,pia mtambue uwepo wenu kwa jamii una umuhimu ambao sio rahisi kwa macho ya kawaida kuona.
@JaylosK@MagufuliJP@majaliwa_kassim@bunge_tz Inauma na inasikitisha kuona tunauwawa na watu tuliowapa hifadhi katika aridhi yetu. Sio kero inaonyesha mpango walionao sio wote wametoroka vurugu nchini mwao baadhi wamekuja na Tania zao za uharifu km ujambazi, wizi, uporaji na uwindaji. Wanafahamiana.
@yedo_kibondo@Tizeba@MagufuliJP@majaliwa_kassim Mbona hamjaonyesha km shamba la kikundi, MTU binafsi,yedo,shamba darasa, shamba la mfano,au watu mliowajengea uwezo . weka wazo na eneo lililopo shamba tufuatilie.
@yedo_kibondo@Tizeba@atashasta@MagufuliJP@JMnwele Serikali haihitaji kufikishwa mbali, inajitoshereza inaweza kusema wore mpate mikate na mkapata. Yedo sio familia.? Serikali ina madini, mafuta,gesi,rasilimali watu, misitu, maji, samaki. wanyama poli,nk ndio maana ikiaamua kula kuku wote.
Hivi nani aliwaloga Nyanza road contractor, hawajui kuwa sana uzembe na kauzembe. Kwa nni # Runzewe kwenda # bwanga imeisha miaka miwili iliopita wao wapo wapo? Ina uma na aibu kwa kutokukamilisha Barbara #Nyakanazi#kabingo. Ni aibu, inatia shaka.@MbarawaM
@MabalaMakengeza Hakuna kitu bila kuboresha madarasa, madawati, vyoo,maabara, mabweni,na acheni kuweka walimu wanaofundisha kulingana na ukubwa wa mshahara, itaendelea kuwa aibu tu shule za umma.
Mungu ibariki Tanzania ili itambue watoto wrote haki sawa.
At the @ClintonFdn, we're changing lives across the United States and around the world. I'm proud to share this update on our work together: https://t.co/1ZJEnPrfn0
Kwa mtazamo wako kuna MTU anaekurupuka. Viongozi wa upizani wapo making nadhani kuriko yatoayo yanasababishwa. Hoja na kujadiri bila kupitisha pitisha huwa in muhimu kwa kweli. https://t.co/1SyTscEjIj
@zittokabwe Lakini kuna mamabo mengine "baadhi ya hao wapinzani" wanapinga ili mradi tu ionekane wana cha kusema...Hoji pale unapoona kweli hapa panahitaji kuhojiwa...Ila tunaweza wasamehe kwasababu ndo kazi yenu wanasiasa
@JaylosK @Kajuli_JSK @MbarawaM@MagufuliJP@ChangeTanzania@tanroad27@WizaraMNN@TZMsemajiMkuu Bila kujari ni hifadhi ya Barbara au la aliechimba tahadhari ilitakiwa na no mujibu liwepo. Uzembe in ugonjwa wa kutokujari si isiposimama kisheria nalo in tatizo kiumbe kapote hatutamuona tena.
Angalizo kwa wahusika katika utekelezaji wa majukumu.