π MAKUSANYO YA KODI NCHINI TANZANIA: (2015/16β2024/25)
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), makusanyo ya kodi yamekuwa yakiongezeka kwa utaratibu katika kipindi cha miaka kumi iliyopita β na kufikia kiwango cha juu zaidi cha TSh trilioni 32.3 kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Takwimu Muhimu:
β’ 2015/16: TSh trilioni 13.4
β’ 2020/21: TSh trilioni 18.1
β’ 2024/25: TSh trilioni 32.3
Katika mwaka wa fedha 2024/25, TRA ilivuka malengo ya makusanyo kwa kila mwezi kwa mara ya kwanza katika historia yake, na kufikia asilimia 103 ya lengo la mwaka.
π Mambo yanayoweza kuchangia ukuaji huu ni pamoja na:
β’ Ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei
β’ Maboresho ya mifumo ya ukusanyaji na utii wa walipa kodi
β’ Mageuzi ya kiutawala na matumizi ya teknolojia
β’ Mwelekeo wa sera za kifedha na kiuchumi
πͺKupanda kwa kasi kuanzia mwaka 2021/22 kunaashiria mabadiliko ya msingi katika mwenendo wa makusanyo na kunastahili kuchunguzwa kwa kina β hususan kuhusu nafasi ya sera, uongozi na usimamizi wa taasisi.
π Uendelevu wa mwenendo huu utategemea uimara wa taasisi za kifedha, sera thabiti, na uthabiti wa uchumi kwa ujumla.
@kikomasta Ndugu yaangu usifute hii tweet, huu mwezi mrefu sana kuna watu wa Iran watalia nankusaga meno
Tofauti ya Israel na Iran ni target tu, Israel ana target viongozi kwanza, huyo Khemney sijui nani hutakuja msikia baada ya mwezi mmoja maana atakuwa amekufa
Baada ya likizo hiyo, Lamine alipanda ndege kuelekea Rio de Janeiro, Brazil β bila Fati β kuungana na role model wake, Neymar Jr., ambaye amekuwa akimtazama tangu utotoni.
Wakiwa Brazil, Yamal alitumia muda wake kucheza soka na Neymar, na bila shaka walikuwa na wasaa mzuri sana.
Imagine sharing the same pitch na legend ambaye amekutamanisha kucheza mpira β hiyo ni dream come true kwa kijana kama Lamine.
Mashabiki wengi wanaamini kwamba vacations kama hizi, za kutembelea legends kama Neymar au hata Messi, ni fursa ya kujifunza zaidi badala ya kupoteza muda kwenye parties au kuburudika na wanawake.
Wanakumbuka wachezaji wengi wenye vipaji vikubwa ambao walipotea kwa sababu ya women, alcohol, na anasa, na hawataki historia hiyo ijirudie kwa Lamine.
Soma Zaidi:π
@SuluhuSamia CHANGIA DAMU OKOA MAISHA.
1. Okoa Mama Mjamzito
2. Majeruhi wa Ajari.
3. Wagonjwa wa Selimundu.
4. Wagonjwa wa kansa.
5. Wagonjwa waopoteza damu wakati wa operation.
Etc.
TUNAJARI , AFYA YAKO.
@kalage_jr Atumie kuchemsha miziz ya huo mmea unatibu haraka ni zaidi ya mionzi cancer ya titi hapo haisogei alafu aache matumizi ya ngano ilokobolewa na juice za viwandani plus soda mpaka apone kutwa mara 3 kikombe asbh kabla hajala usku akitaka kulala .