Mhe Rais @SuluhuSamia ungetusaidia sana kumrejesha Mhe Gwajima Wizara ya Afya. Maana wagonjwa wa akili wamekuwa wengi. Wanaongea lolote popote na hawakamatwi ili kupewa tiba stahiki. Asante Waziri Gwajima kwa somo hili la vitendo. Kikombe cha BABU kinarudi upya na madhara makubwa