Kwamba Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko @BernardMembe endeleeni kuzikana @SeifSharifHamad huu ndiyo mwaka wako wa mwisho kugombea mzee wangu ambayo unastaaafishwa kwa aibu kuu. Ukicheza na JPM Mungu anakupiga kofi sasa endeleeeni kufarakana @Fugitive66_ @el_djd @salim_alkhasas
Lissu anajisahaulisha kabakiza simu 14 tu arudi zake Brussels kwa mujibu wa ticket yake ya 'go&return'.Wakati ikizinduliwa daraja ya Busisi, maneno yakawa meeengiii, kumbe Lissu nae ni msukuma wa huku?Kumbe nae midaraja ya Kisorya Ukerewe ni maendeleo ya watu?Nayo itampigia kura
Utafiti wa maoni uliofanywa na Taasisi ya kimataifa ya YouGov umeonesha kwamba ni Asilimia3% ya wajerumani wanaamini Uchaguzi ujao Marekani utakuwa huru na haki. Aidha kwa Uingereza na Ufaransa ni asilimia 5% tu
wanaamini Serikali ya Trump inaweza kufanya uchaguzi huru na haki