Mwandishi Eric Shigongo anasema ili ufanikiwe kwenye biashara unahitaji mambo matatu tu. Ambayo kwake ameyafupisha kama SEC...
S ➛Solution
Anasema "Babu wa loliondo watu walimfuata kwa sababu alikua na solution. Ukiwa na solution hata kama hutaki pesa watu watakuzalimisha uzichukue".
E ➛Experience
Watu wananunua experience anasema "mteja alipokuja kwako alipata experience kiasi gani, alihudumiwa vizuri kiasi gani. Kwa sababu lengo hapa ni retention ili kesho na kesho kutwa arudi tena kwako, aku recommend kwa wengine wasiokujua".
C ➛Convenience
Anasema "Huduma yako inapatikana kwa urahisi namna gani, ofisi yako ipo sehemu gani, availability yako ipoje. Ili mtu akufikie kuna urahisi kiasi gani. Hauwezi kuuza spare za pikipiki halafu duka lako linapatikana masaki".
@Thommunkondya Upembuzi Yakinifu wa stendi Ile walihusika nani? Miradi mingi ya Serikali ni White Elephants. Siyo masoko etc inapaswa kabla washirikishwe raia wanaishi uhalisia na siyo kutumia akili za V8
@MarekaMalili Ziko nyingi pale Korogwe, hivyo hivyo. Miradi mingi ya Serikali ni White Elephants, siyo stendi, masoko etc. Hii inatokana na wanajiita WATAALAM kuokuvaa uhusika wa mazingira ya maeneo husika. Ingawa kwenye hii miradi Kuna fedha zimetumika Kwa kitu kinaitwa Upembuzi Yakinifu
Kuna mtu unamjua mmeanzia karibu sehemu moja
Lakini leo anakuzidi pesa, matokeo na maendeleo
Na ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni huu
Hakuzidi kwa akili
Hakuzidi kwa bahati
Ana tabia chache tu anazozirudia kila siku ambazo wewe huzifanyi
Njoo nikuoneshe mchezo wote:👇
@cw_pedro Rasilimali za umma zilitumika bure. Tume ilikuwa na pingu. Ilipewa mtihani wenye majibu tayari.
Na kwa muundo ule wa tume na wajumbe wale hakuna ajabu lolote lingeweza kutokea maana wasingeweza kuruka mpaka. Simple tu watu wapigwa risasi majumbani IJP yupo kwenye Kiti, miezi 6
@PabloYende Hatari sana 2008 ilinikuta Karatu aisee na hela nikatoa na room nikalipia nilichoambulia ni Zero. Miraaa ni ukuda sanaaaa. Nilipata bonge la hasara
@cw_pedro Ameshindwa kwenda na Steps hasa hili jambo la Wese kupanda.
Taasisi za Serikali zimeshindwa kusomana kwenye jambo la mafuta? EWURA anatoa mkeka wa kupanda Kwa mafuta bila kuwatonya taasisi zingine kama LATRA na kusabisha mauza uza ya usafiri nchi nzima?
Nilianza kuwa na adabu Ile siku niliyoona engine ya Benz ikiwa imebebwa kwenye mkokoteni inaenda kuuzwa kama skrepa.
Niliogopa pale msiba wa yule tajiri kaburi lake kuchimbwa na wale vijana wanaoitwa wezi na masela wa mtaani.
Maisha yakikupa ukubwa, chagua kuwa humble.🙏