@britnie_coco Sisi kama wajomba na mashangazi tuache wivu kwa hawa vijana tusonge mbele na maisha yetu wao huu ndio wakati wao
Acheni ukunga kwa kizazi hiki kinachojua matumizi sahihi ya P2, PREP na PEP, sisi hatukuweza wao wameweza
@Adventure_36 Kisa tumeona neno BRT kwenye hayo magari ndio tunajua ni zetu ๐๐
Hatujui kama BRT system ipo nchi nyingi tu kama Nigeria, South Africa, France etc
@Adventure_36 Mm naamini kabisa kimefika hicho kiasi
1. Fwatilia jiyo zege ina square meters ngap na ni inch ngap
2. Kadri mradi unavyochelewa kukamilika ndio gharama za mradi zinapanda
3. Kaulizie gharama za hayo majengo and etc