Ila shetani akiamua akutese huwa habahatishi!!🤒..
leo nimeenda interview Cocacola, nimepiga interview fresh sanaa, mwisho nikaulizwa niletewe kinywaji gani,.. si nikaomba pepsi💔..nimeisha🙌.
Weekend ya mwisho wa mwezi huu!
tafiti zinaonesha 95% ya “Main boyfriend” hali zao za ki Afya zitakuwa mbaya sana..maana kuna uwezekani mkubwa wakarudishiwa wapenzi wao jumapili jioni .