❝Stupidity is knowing the truth, seeing the truth but still believing the lies. And that is more infectious than any other disease.❞ ~ Professor Richard Feynman #WakeUpEverybody✊🏿
Chuki, husda, na dhulma ni dhambi za KIPUMBAVU sana, ni dhambi pekee ambazo hazikuletei furaha.
Ukifanya hizo dhambi unabaki na aibu na huzuni; Unayemfanyia hizo dhambi anafurahi kwa dharau.
@Packod2@Wakazi Urafiki wa mashaka sana huu, na aina hii ya urafiki huwezi tegemea kitu kinaitwa USHAURI ambacho kaka yenu alikuwa anajaribu ku brush his shoes through them
@reggiemass@iamsamkailo@Wakazi Theme ni "Ushauri kutoka marafiki wa kike" elewa mdogo wangu. Sio masuala ya consultation ni ishu ya friendship vs ushauri. Marafiki wana shauriana. Consultat anakushauri wewe what to do to. Km rafiki yako hakushirikishi yake, maana yake ww ni valueless kwake
@iamsamkailo@Wakazi Uki mention someone kwa ushauri, it means you trust them. As a friendship ushauri ni pande zote mbili. Haiwezekan kila siku rafiki anakushauri wewe tu, then haji kwako kuomba ushauri...This is why I asked, do you think among of them na ww upo kwenye list yao?
@kaji_sijo Mgawanyo upo hivi; upande mdogo ni wa kufutia usoni na upande mkubwa na kufutia mwili mzima. Usije changanya ulipojifutia matako asubuhi, jion ukafutia mdomo