Hii hapa selfie ring light ya kijanja kabisaa kwa picha kaliii na zenye mwanga
👉inatumika kwa simu yoyote ile.
👉ni ya ku charge
👉3 level lights balance
Kwa shilingi 15,000/= tu
Call/WhatsApp/text 0653409343.
Please naomba RT Yako mteja anweza kua kwny TL yako
@YourFrenchFry
Mzee Wao ni Multibillionaire
Ila watoto wake Mpaka wnakuwa
Watu wazima hawajui kuhusu Ela,
Za mzee Wao zinatoka Wapi.
Mzee anafariki,
Anaacha karatasi za Urithi.
Kwa Mwanasheria wa Familia...
Uridhi unagawanywa.
Kwenye maandishi ya Mali,
Mzee alisema,
Nyumba na Biashara zote,
Atasimamia mtotowake wa,
Pili wa Kiume...
Baada ya Mazishi kukamilika,
Kuna Dada,
Pisi Flani Hivi Kali,
Ikaja Kujitambulisha Kwa dogo...
Baada ya Hapo,
Ikamwambia Dogo Twende,
Nikakuonyeshe Kitu...
Kubababebeki,
Kumbe Chini ya Nyumba Yao
Kuna Bonge la Operation inaendelea.
Operation Gani?
"The Gentlemen"
Kama Una Mapenzi TV Show,
Hii ni 9/10🔥
Being broke as a man is very degrading and frustrating. To every man who's putting in the work to change his financial status for the better, I hope you win soon bro, I hope things get better for you real soon.
Jifunze Backend Languages kama NodeJs, Python, Golang, Java, PHP etc
Nenda kwenye Mtiririko huo.
Tunapokea ushauri mwingi mtandaoni kwamba tujifunze ku-code tuwe Developers ila wengi wanaruka stages na kuanza kujifunza coding kabla ya Computer basics.
Be Informed 📍
Pamoja na Hayo, Hakikisha Unafanya Mazoezi yatakayokusaidia Kuimarisha misuli yako ya Eneo la Uume na Kuongeza msukumo wa Damu!
(Mazoezi yako Hapo Chini)
-> Kwa Kujifunza Zaidi Kuhusu Afya na Mengine Mengi ya Kiafya, Jiunge Nasi Hapa 👉 https://t.co/a7nWusMCEi
ChatGPT ni tool nzuri sana, ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kupata kazi/dream job yako.
Tatizo ni kwamba wengi hawajui kuuliza maswali/prompt.
Leo nitakuelekeza namna ya kuuliza ili ikupe majibu yanayoweza kukupa kazi.
Kazi yako ni ku-copy na ku-paste tu.
Fungua uzi 👇
🦅NAMNA YA KUHAMISHA VITU KUTOKA SIMU YA iphone kwenda Simu YEYOTE YA Android
🧵🧵🧵
Je, uko tayari kuhama kutoka iOS hadi Samsung? Hivi ndivyo utakavyohitaji ili kubadilisha kutoka iPhone hadi kifaa cha Android kama vile Samsung Galaxy S22, Google Pixel 6, au nyingine yoyote. Huna haja ya kusema kwaheri kwa mambo yako ya zamani wakati unabadilisha hadi Galaxy.vitu vyako vya mwanzo, kama vile picha, mipangilio, na rekodi ya simu zilizopigwa, zitatumwa kwenda kwenye Samsung Galaxy yako mpya.
Hii dawa🔥🔥🔥
Unaweka tu chenga kadhaa kwenye maji ya uvuguvugu unavuta mvuke na badae unakunywa kidogo unaisikia mpaka kwenye koo kama mafua yalikuwa yanafanya upumui unakuwa shwari.
Kama mtoto anashindwa kupumua hii ni chap
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA.
⚡️⚡️⚡️⚡️
Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako
1. *35*0000*11 #
Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote
JE UNAZITAMBUA HIZI USSD CODE NA KAZI ZAKE KWENYE SIMU YAKO
Kupitia Dial jaribu.
*31# (ondoa Caller ID)
Mtu unaempigai atoweza kukutambua kurudisha piga*31#
*#06# (Check the Device's IMEI)
Angalia IMEI number ya simu yako
*#67# (angalia Call Forwarding)
...🔄👇
TUKUBALIANE, Siku zote interview yako itaenda vizuri, hadi linapotea swali la UNATAKA KULIPWA TSH NGAPI?🤯
Ghafla maneno yanakwama, ni kama kitendawili kigumu, kikiacha hata wenye uzoefu kwenye sintofahamu
JINSI ya Kujibu Swali la Matarajio ya Mshahara kwenye Job Interview.
🧵