Top Tweets for #ASDP2
"#ASDP2 imeweka msisitizo katika mazao ya chakula, mf. katika mchele tuna soko la thamani ya $300 millioni, hii ina maana kubwa kwa kipato cha wakulima milioni 1.5 wa mazao ya biashara na wakulima milioni 4.5 wa nafaka" ~ Prof. David Nyange
#AgricultureWeek
#TogetherAt60 β||πΉπΏ
@REPOA @TradeCom_2 @tirdo_official @MmariDonald @L_Katera @tzagriculture @Kilimobizz @derick_msafiri @SMwombela @Udadisi @EUinTZ @NBSTanzania's #NSCA2020 shows that paddy/rice accounts for 22.8% of all cereals planted but yields of 2.3 tons/ha remain below #ASDP2's target of 3.0 tons/ha. And now climate change (18.3%) has added to agri constraints
Katika kikao hicho Mkurugenzi wa benki ya maendeleo ya kilimo @JaphetSayi aliwasilisha andiko la miradi zaidi ya 210 ambayo mpaka sasa benki ya TADB imeiwezesha kifedha na dira ya TADB katika kuendeleza sekta ya kilimo kupitia mpango wa 2 wa maendeleo ya sekta ya kilimo(#ASDP2).

#TREKTA - "Tumeweza kutoa matrekta 19 kupitia mradi wa #MatrektaLoan kijiji cha Narakauo, Simanjiro, tukilenga kutekeleza mpango 2 wa maendeleo wa sekta ya kilimo(#ASDP2) unaoagiza kuongeza tija na uzalishaji mashambani"
Jeremiah Mhada - Mkurugenzi wa fedha na biashara(@tadbtz)

#TREKTA - Ndugu mtanzaniaπΉπΏ na mdau wa kilimo, kuna fursa za mikopo ya matrekta zimetangazwa kwa ajili yenu kutoka benki ya maendeleo ya kilimo nchini @tadbtz wakishirikiana na kampuni ya @JohnDeereAfrica na @Lonagro

Sustaining commitment to making agriculture work for nutrition, requires a more comprehensive M&E system that can capture the contributions of nutrition-sensitive agriculture (NSA) in improving nutrition in Tanzania
#Nutrition #Agriculture #NSA
#ASDP2 #NMNAP
#SDG2 π²π½π§βπΎ

Prof. Siza Tumbo- DPS @Tzagriculture in an interview as part of the preparation of ASDP2 successes documentaries coordinated by @ESRFTZ. @Prof. Tumbo spoke about #agricultural online systems how they assist in the implementation of #ASDP2 @tausi_kida @mnzuki @tzagriculture

@ESRFTZβs - #RARIS Project in collaboration with the @tzagriculture have prepared video clips on #Food and #Nutrition Security to showcase successes of #ASDP2 in the last two years of its implementation. @cmusisi2 @mnzuki @HusseinBashe @KilimoForum @tausi_kida
Mahindi, Ndizi, Mihogo, bidhaa za mifugo(nyama), Ngano na Mafuta ya mawese ndio mazao yaliyoonekana kufanya vizuri katika soko la bidhaa(Agricultural commodity trade and market) nchini Tanzania hadi mwaka 2010. Je hali sasa ikoje, kuna mabadiliko yoyote?
Source: #ASDP2 report

Ushiriki wa sekta binafsi(PPP) katika ngazi zote za mipango hadi utekelezaji wa ASDP unahitajika kuongezewa nguvu zaidi. Hii itasaidia kuwa na nguvu ya pamoja ya utekelezaji kwa kuwa sekta binafsi inaongozwa na sera, mipango na dira kuu ya serikali ktk uwekezaji nchini
#ASDP2

Juhudi za kuongeza uzalishaji(Increase in productivity) kama lengo mojawapo la ASDP2 linahitaji kwenda sambamba na kuwajengea uwezo wakulima katika kuongeza thamani ya mazao na kuwaunganisha na masoko ya uhakika ili kuongeza tija kwenye uzalishaji na mnyororo wa thamani.
#ASDP2

Sufficient government funding of #research is crucial to develop home-grown solutions the production challenges of selected priority #crops under #ASDP2 such as #ClimateChange, pests & diseases. Currently most research is donor-funded hence donor driven #Tanzania #agriculture

The Hon Minister says this meeting is part of a series to meet stakeholders in #agriculture sector to get recommendations on priorities in implementation of the Agriculture Sector Development Plan #ASDP2 to transform agriculture for #industrialization in #Tanzania @tzagriculture

WATCH: With #Tanzania having embraced the transformative role of #agriculture, backed by the support of various partners, they can look forward to reaping and enjoying the fruits of an #agricultural revolution with their recently launched #ASDP2 - https://t.co/uesSzp5aE6

#Vijananakilimo
#NSYIA
#ASDP2
#VSIPaneldiscussions
#VSIclinics
#YouthPower
Mkakati wa kitaifa wa ushirikishaji vijana kwenye kilimo.

Picha ya pamoja na mgeni Rasmi baada ya kufungua warsha ya kuwajengea uwezo vijana wa Mkoa wa Lindi na Mtwara juu ya Mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo.
#vijananakilimo
#NSYIA2016-2021
#ASDP2
#VSIPaneldisucussion

Today's @TheCitizenTZ paper highlights the Seminar with Members of Parliament held in Dodoma last week.
https://t.co/RCLHON51ls
The seminar was organized by Policy Analysis Group (PAG) members and the Ministry of Agriculture ( @tzagriculture). #AAPC2018 #ASDP2

#KFUpdates #ASDP2
YALIYOMO KWA KIFUPI KWENYE PROGRAMU YA #ASDP2: MAENEO YA VIPAOMBELE, MAZAO YA VIPAOMBELE KATIKA KANDA, MAENEO YA IKOLOGIA ZA KANDA ZA KILIMO NA MIFUGO NA GHARAMA ZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU.
Link: https://t.co/xSkCzQKj2T

Katika kusapoti serikali yetu ya @MagufuliJP we come up with this idea https://t.co/uKetuMa1z0 (Read Description via @YouTube for more info) Kindly support us @SAGCOT @Mengi9 @GileadTeri @Diwahoza #ASDP2
Last Seen Hashtags on Sotwe
sisman
Seen from Turkey
girls omegle
Seen from Germany
minichat
Seen from Italy
mom
Seen from United Arab Emirates
moancewe
Seen from Netherlands
seltan
Seen from Turkey
anxiouspanda filter:videos
Seen from United Kingdom
AusJapanFound
Seen from Canada
schoolthot
Seen from United Kingdom
danielknight
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

















