Top Tweets for #ESTHERMATIKO
@tgnptz You guys are not serious, alichomwa vidole kwenye makalio #EstherMatiko aliyekuwa mbunge wa Tarime mjini, mlisema chochote kuhusu haki za wanawake? Kule gerera la Segerea akina Esther Bulaya, Mdee, n.k walipigwa tena na wanaume, mlisema chochote?
"Kipekee kabisa Nipende Kutoa Shukrani zangu kwenu kwa Maombi yenu, pia kwanamna mumetuchangia na kuweza kutoka Gerezani Leo" #EstherMatiko
#BaadayaKutokaMagerza

#MATAPA wanatamani michango kwa ajili ya kina @freemanmbowetz @halimamdee @HecheJohn @jjmnyika @esteramosbulaya #EstherMatiko ingekua ni michango ya Mwenge. ππππ
"Hatutakubali kuendelea na magofu baada ya soko la Mji wa Tarime kubomolewa ili kujengwa soko la kimkakati,mpaka sasa bado. Lazima tujenge tena vibanda kuendelea na biashara, pale Serikali itakapokuwa tayari na kuweka fedha ndiyo soko la kimkakati lianze kujengwa" #EstherMatiko

Changia @ChademaTz
kwa kununua kikombe na tshrt yenye picha ya Mbunge wa Tarime mjini #EstherMatiko.
Kikombe elfu 30,
Tshrt elf 20 kwa 25,
Kwa mawasiliano piga 0712679651
#TukutaneSerengetiNovemba16

Kuna mtu anateseka?
Tarime mji tukimpokea mbunge wetu #ESTHERMATIKO
@MariaSTsehai @TitoMagoti @HecheJohn @tundulissutz

#UtamaduniWetu
#EstherMatiko alipopigwa (Mbunge,Kiongozi,Mwanamke,Mama,Shangazi,Dada)wachache walisema maana watetezi wangeonekana #Chadema wanapinga Juhudi. Kapigwa Mwandishi tumekurupuka woote!#Tuache,Dhulma ni Dhulma,Uonevu ni Uonevu hauna chama
#KatibaMpya
#ChangeTanzania
@fatma_karume the #HeavyWeightChamp
Keeping real with #TeamMashangazi
@MariaSTsehai @lilianruga @HengaAnna @CarolNdosi @aikande @esteramosbulaya @halimamdee #EstherMatiko #MagigeCatherine
#Mashangazi ni π₯π₯π₯
BoTs wanapata tabu sana πππ
#UtamaduniWetu
Where are feminists when #EstherMatiko is facing troubles? They are nowhere to be found,except very very few!
@TawlaTZ @TAMWA_ @TgnpMtandao @TanganyikaLaw @humanrightstz
#KatibaMpya
#TzKwanza
#TunahitajiMabadiliko
#BeTheChange
#ChangeTanzania
@MariaSTsehai This is a new low for TZ. Kitendo cha Polisi wanaolipwa na hela za walipa kodi kumpiga mwanamke (tena MP) kimeonyesha udhaifu mkubwa, na kutukumbusha kuwa wanatukitumikia chama tawala badala ya kuutumikia umma. Kwenye nchi yenye haki wangechukuliwa hatua za kisheria #EstherMatiko
Wanawake ni zaidi ya 50% ya wananchi wa nchi hii, leo wanaanza kupigwa na kudhalilishwa na Askari wetu wenyewe. Sisi kina mama tisipokemea hali hii kesho itakutokea wewe au mwanao au ndugu yako. Pole dada #EstherMatiko mapambano ya udhalimu hayajawahi kuwa rahisi

Movement With Brain Power.
Tarime Town
#EstherMatiko

Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspanda()()()()*******
Seen from Germany
minichat((((((()))))))* filter:native_video
Seen from Brazil
ece ronay
Seen from Turkey
thundr video
Seen from United States
ειεε‘
Seen from United States
LUNARSchedule
minichat()******* filter:videos
Seen from Korea
anxiouspandaa
Seen from Dominican Republic
somali fucked
NSFW
Seen from Egypt
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
















