Top Tweets for #GenZtz
Unaiba ngoma...mahali pakuipigia sasa, problem. #GenZTZ

Picha moja, maana bilyoni. Ukute wanaambiana "Adui unayemuweza, usimuachie Mungu" #GenZTz

Leo tumeshiriki ibada ya kumuaga baba Askofu Stephen Munga.
Ambae ametwaliwa katika maisha haya, Baba Askofu Munga alikua mtu wa Mungu wa ukweli.
Mtu ambae hakuogopa kusema neno haki na kusimama upande wa haki, baba Askofu hakua kiongozi wa kanisa na kiroho tu.
Alikua kiongozi wa jamiii pia na msomi mzuri, ametufunza mengi, alikimea uovu, uzembe, wizi, utekaji na alitaka demokrasia ya kweli.
Tunamshukuru Mungu kwaajili ya maisha yake, ameacha alama kubwa hapa duniani.
Pole sana Dk Aneth mama Askofu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
RIP Baba Askofu Munga.

Nchi haina tena uongozi
Mkurugenzi wa DART anaendelea na kazi na ana V8 kali kabisa
Hii Nchi tutaikabizi kwa @ChademaTZ2 mara baada ya kuikomboa #25Oct2025MaandamanoDay๐น๐ฟ
Naweza kusema hii Nchi Kwa sasa watakao amua mwelekeo wake ni Sisi #GenZTz๐น๐ฟ

Chadema tokeni muonyeshe uongozi na kutoa muelekeo. Oktoba 29 inakaribia na bado hamjatoa muelekeo mnajificha kwenye maandamano ya Mange na kutoa tarehe za kesi ya Lissu. Mnawaacha wananchi hawaelewi.

Kwenu #GenZTz๐น๐ฟ
Kijana Mwenzetu @DEUSDEDITHSOKA
Na wenzake hawajulikali walipo baada y kuchukulia na @tanpol kwa zaidi ya Miezi 5 Sasa.
Serekali ya @SuluhuSamia ilivyo y kibaguzi na katili, kwakuwa Vijan Hawa niwa Tanganyika wa kuzaliwa haijawahi kutoa maelezo yeyote. #freeSoka

๐OCCUPY BARABARA KUU ZOTE๐
Kufuatia kitendo cha jeshi la Polisi kukamata na kuwazuia viongozi wakuu wa #chadema akiwemo Rais wetu Ajaye #TunduLissu
Sasa #GenZTz tutazuia barabara kuu zote nchi Zima siku ya kesho. ROAD za mikoani na zile za kimataifa hazitopitika mpaka.. โฌ๏ธ

#GenZTz updates za maandamano ya kesho na maeneo ya #kuoccupy.
kuanzia kesho kipaumbele chetu cha kwanza ni #OccupyRoads, tutaoccupy miji na barabara muhimu zote. Kwa mbeya #TZZM high way tutaishikilia muda wote mpaka viongozi na vijana walioshikiliwa na Polisi waachiwe huru.

@gidionalex31 @AdvMahinyila Polisi kwanini mnamkamata wakili @AdvMahinyila alikuwa akitekeleza majukumu yake kwa wateja wake.? #GenZTZ
@MariaSTsehai @bavicha_taifa Vijana #GenZs Tz Sasa tumetangaza rasmi kwamba hatusubiri tena tarehe 26/8 ili kuanza maandamano rasmi ya #GenZTz
maandamano hayo makubwa tunaanza kesho katika miji na majiji yote nchini Tz. Kwa wingi tutaanzia mbeya. Pale kumekucha. Tukutane barabaran
https://t.co/cMiek1FzSK
Tutaandamana katikati ya majiji na miji nchi nzima ikiwa ni pamoja na kulitaka jeshi la Polisi kuwaachia huru vijana wote iliyowashikiria popote pale nchini haraka kwani kuazimisha siku hii ya vijana ni haki yetu na vijana ndo sisi.
#GenZs ๐น๐ฟ we're coming #sasatumeamua

tutaunganisha na siku yetu rasmi ya maandamano rasmi ya #GenZTz ya tarehe 26/8/2024. Tutaandamana katikati ya majiji na miji nchi nzima ikiwa ni pamoja na kulitaka jeshi la Polisi kuwaachia huru vijana wote iliyowashikiria popote pale nchini haraka kwani kuazimisha siku hii... โฌ๏ธ

Kijana shupavu @DEUSDEDITHSOKA Gen Z mahiri anaejielewa. Sio haya mauzauza yanayorubuniwa na betting, sijui Simba na Yanga, all rubbish things takataka kabisa, huku huyu @chura na wahuni wenzie wanapora nchi. Muda ni sasa kwa #GenZtz kupambania nchi.

Sawa kabisa maana wameamuwa kuleta siasa kwenye michezo. Mengine tutaprint kuwa UTEKAJI NI DRAMA OSTER BAY HAKUNA KALAKANA @Sativa255 alijiteka. #GenZTz
Simba day tukipitia stationery tukachukua karatasi tukaandika #katibampyanisasa itampendeza sana tuwe kama wale watoto wa mama na mabango yao๐ฅโ

Sisi #GenZTz tunafurahi Kila tunapoona haki inashinda na njia ya kuelekea kuikomboa nchi yetu upya kutoka kwa mkoloni mweusi inakaribia.
Hongera @Mwabuk2Boniface na mawakili wote kwa hatua hii.
Nina Imani 20/8/2024 tunapo andamana kutakuw na mazingira bora pia ya utetezi wa haki
๐ฅ๐ฅ๐๐
Enheee kiko wapi?
Haya ndo mambo - si kukaa kujikunyata kwa unyonge! Fight for your right ๐๐ฝ
Nashukuru mawakili wote mlioamua kuvaa buti na kupambana hii vita!
Na nyie wanafiki na madhulmat mliokuwa nyuma ya kutaka kumwengua mpambanaji - ILOOOO ๐คช yamewashuka shu!
Time to take back TLS mtumikie umma si serikali ya kidhulmat!
Na #TutaelewanaTu

Last Seen Hashtags on Sotwe
teenagee t.co()
Seen from Egypt
NYJvsPIT
Seen from United States
TEENAGE #TEENAGEGIRLS
Seen from United States
ForeskinIsNotABirthDefect
Seen from United States
ูู
ุฑูู
Seen from Egypt
ใชใชใซใผๆตๅบ
Seen from Japan
yourfranchisecoach
Seen from Thailand
ๆ้ณ้ฃ่ฃธ่็ณปๅ
Seen from United States
เธชเธเธดเธเธเธฃเธฐ
Seen from Thailand
haiku
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers






















