Top Tweets for #JINSI

#WutheringWaves #changli #長離 #jinsi
I drew a new outfit for Jinsi and Changli, and I might design an extra set just for Changli.

JINSI Denim Company — where classic denim meets modern identity.👖✨
#BrandIdentity #DenimBrand #LogoDesign #Branding #GraphicDesign #VisualIdentity #LogoDesigner #Denim #BrandDesign #DesignInspiration #CreativeDesign #Typography #DesignerLife #DesignProcess #JINSI

Hawa ndo mawakili rasmi wa Tundu Lissu katika kesi yake feki ya uhaini na cybercrimes ambayo imewashinda maCCM 👇🏾
1. Senior Advocate Mpale Kaba Mpoki
2. Senior Advocate Dr. Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala, PhD
3. Advocate Peter Kibatala
4. Advocate Jeremia Mtobesya
5. Advocate Jebra Kambole
6. Advocate Gaston Garubindi
7. Advocate Ikoti Lissu
Kama mshauri - Counsel Advisor Senior Counsel Alute Mughwai Lissu
Wamesajiliwa rasmi mahakamani na ndo wanatambuliwa na jamii na serikali
Na zaidi ya hapo, mawakili wengine hawapewi access hata wawe nani na wanafamilia pia wamepigwa pini! Heche kaenda mara kadhaa wamemkatalia
Leo Kisabo anaibuka na kutoa taarifa mitandaoni
Mpo?
Eniwei tushaelewa kinachoendelea sasa FOCUS! Next time tutambue spinning mapema!

Gwamnan Abba Ya Gabatar Da Ƙudurin Haramta Auran Jinsi A Kano
https://t.co/MFNJuI2Wlc #ManyanLabarai #Aure #Jinsi
#JINSI #YA #KUMCHAGUA #MTU
#SAHIHI #KWENYE #MAISHA #YAKO
🌹🌹Kama wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia haya walau, yanaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika maisha yako ya mahusiano.
🌹🌹Daima chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi, tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako.
🌹🌹Mwanaume anayekufaa ni yule anayekujali na kukuheshimu, mwanaume bora ni yule anayekupa leo mawazo ya kesho, mwanaume anayekufaa ni yule anayekufuta machozi na asiyekuliza kila siku, na aonapo chozi lako basi huwa anaumiaa sana.
🌹🌹Dada yangu tafuta mwanaume ambaye ni kichwa ili wewe uwe shingo sababu hakuna kichwa pasipo shingo.
🌹🌹Tengeneza mwanaume wako bora, anza naye kwenye maisha ya chini mkipeana faraja na matumaini ya kutengeneza ndoa bora na yenye mafanikio ya kipesa, na mauhisiano yenye afya yaliyo na mapenzi matamu na bora, usipende wanaume wa wanawake wenzio mtengeneze handsome wako.
🌹🌹Dada yangu achana na mabrothermen wanaopaka poda, wanaotembea na selfiestick hawana tija, mwanaume bora havai mlegezo (sag trouser).
🌹🌹Mwanaume bora hata kama hana pesa daima huwa na hazina ya mawazo na ndoto zenye matumaini ya kuwa na future nzuri baadae.
🌹🌹Achana na wanaume maarufu, wengi wao hawana mapenzi ya dhati japo si wote. Wanapenda kuwatumia wanawake kwa tamaa zao za mwili.
🌹🌹Dada yangu mimi nakupenda na natamani uwe na ndoa bora na uchague mpenzi bora, mpende mpenzi wako kwa moyo wote achana na zile kauli za wanaume wote wanafana.
🌹🌹Muombe Mungu akupe mume bora na wewe uwe mke bora sababu mke mwenye mapenzi ya dhati huwa anabeba baraka za mafanikio ya mume wake ... Tafakari mauhusiano yako yapoje .
🌹🌹Wakati ni sasa sio kesho acha kuwa na idadi kubwa ya wanaume, chagua mwanaume wako mmoja na aliye bora, pia achana na utamaduni wa kuchati na ma ex wako .
#JINSI #YA #KUPATA #HESHIMA!!
1. Acha kuwaomba watu kila wakati.
2. Acha kumtafuta asiyekutafuta.
3.Usidhulumu kitu cha mtu mwingine
4. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao wanavyokula cha kwako
5. Punguza jinsi unavyowatembelea baadhi ya watu hasa pale wanapokuwa hawaonyeshi kujali.
6. Wekeza ndani yako. Jifanye kuwa na furaha.
7. Acha kusengenya wengine...usiwe mmbea
8. Fikiri kabla ya kuzungumza. Asilimia 80 watu hukuthamini kulingana na yale yanayotoka kinywani mwako
9. Kuwa mfanisi kwa kujishughulisha na lengo lako.
10. Heshimu wakati.
11. Usikae kwenye uhusiano ambao unadharauliwa kila mara.
12. Kuwa na hofu wakati mwingine.
13. Uwe mtoaji zaidi kuliko mpokeaji.
14. Usiwe muongeaji sana, uwe msikilizaji zaidi
15. Usiende mahali ambapo hukualikwa na unapoalikwa usiache kwenda
16. Watendee watu jinsi wanavyostahili.
17. Uwe mtu wa maombi sana,msomaji wa Biblia na usiache kuhudhuria kanisani
18. Chochote unachokifanya kifanye katika ubora.... Kuwa bora zaidi kwa kadiri unavyoweza kuwa.
19. Usiwaonee wivu watu.
20. Jiamini kila wakati.
21.Usiwe mtu mwenye Mashaka
22.Ondoa msongo wa mawazo
23.Usiwe mtu wa mashindano
..... Mungu Akubariki sana
kuna tofauti kubwa kati ya wazee wa zamani na wazee wa sasa hivi hasa katika suala la
#hekima
#busara
#malezi kwa vijana
#uzungumzaji wao
#jinsi wanavyokushauri jambo
siku izi ukimfata mzee akushauri kuhusu ndoa yako atakwambia kijana ang uyo bwaga 😀
#Aurangabad : #Jinsi #PSI arrested for demanding & accepting ₹1L #bribe
#Crime #corruption #Police
#Maharashtra
https://t.co/Bb3mxNCoFw
@MarekaMalili @Udadisi @KennedyMmari Hawa mabeberu wanatupoteza. Sasa hivi ukitaka kuonekana ‘mliberali mpigania maendeleo (ya kijanja)’ lazima umzungumzie mtoto wa kike peke yake.
Rejea kwanza uelewa wako wa tofauti hasa ya #jinsi na #jinsia inayosababisha unachokiita kunawiri.
Tuanze na utafiti wa akina @MabalaMakengeza kuhusu ‘The Girl Child in Tanzania:Today's Girl Tomorrow's Woman’👇🏿kisha tujiulize huyo mtoto -ke atafanya vizuri zaidi boarding au day?

Prof. Enzi hizo boys wliokuwa wanapata three walikuwa wanachukuliwa na girls wanaachwa?
Halafu, kwa hiyo hatuko sawa? Jinsi nyingine inanawiri ikiwa boarding, nyingine popote tu 😂😂😂.
Sentensi ya kwanza ya hayo makala yanasema hivi:“Back in the 1950s and late 70s most… families neglected the girl child.”
Hiyo ndiyo ile “hapo awali” ya jamaako @LelloMmassy ambayo ndiyo msingi wa swali langu.
Mwanaharahakati ajuaye maana halisi ya #jinsi(a) hujali -ke na -me.
Hahaa ila Wakili Msomi @PMadeleka atakuambia kutokuwa na Jaji Mkuu Mwanamke ni zao la utekelezaji maridhawa wa Katiba kwenye ibara inayoainisha sifa za Jaji kwa kuwa eti #jinsi(a) siyo sifa mojawapo kana kwamba kwenye Katiba hiyo hiyo hakuna ibara zinazosisitiza 'usawa wa fursa'.
@Udadisi Inawezekana anayetangaza na mwenyewe hajajuwa hiyo nafasi yake yawezekana inatafutiwa mtu. Jaji mkuu mwanamke wa kwanza Tz.
@IAMartin_ @JotiOfficial Bahati isiyo nzuri simjui #jinsi yake ningeangusha bonge la tusi 🤣🤣
joti ushukru Mungu...

#5tweets lang:ha🇳🇬 ハウサ語 #Hausaiian
Burin ci gaba mai dorewa (manufofin ci gaba mai dorewa) #Bcgmd
#Bcgmd5: Samun daidaiton #jinsi.
#Nomankwayoyinhalitta yana cutar da rashin daidaiton #jinsi.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers






























