Top Tweets for #LearnWithArt
Lots of exciting things going on here.. getting ready for Appleby fair next month. @Drive2Survive3 @SherrieRomany @bowers_jake #Education #History #culture #traditions #LearnWithArt

Jana kazi ilifanyika vizuri sana kila mmoja alionyesha ubunifu katika kuchora,
@AYICCtz @AYICC Africa @OISEA and @hudefo inapenda kuwashukuru wote walioshiriki,tukutane next time.
#learnwithart #climateartcafetz

Tunashukuru wadau wote waliofika Climate Art Cafe siku ya jana. S/o kwa
@AYICCtz @AYICC Africa @OISEA @hudefo
#learnwithart #climateartcafetz

@AYICCtz @AYICC Africa @OISEA and @hudefo wanawashukuru wote mlioshiriki jana katika uchoraji wa mabadiliko ya tabia nchi.
#learnwithart #climateartcafetz

Sanaa hii pia inaenda kugusa watoto na kuibua watoto ambao kupitia uchoraji wanakuwa mabalozi wa kutoa elimu ndani ya jamii jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi #learnwithart #climateartcafetz

Kongole kwa waandaaji wa maonesho ya wabunifu wanao kabiliana na mabadiliko ya tabia nchi wameweza kutoa elimu kubwa #learnwithart #climateartcafetz

Big up kwa kila mmoja aliyeweza kufika kwenye maonyesho ya sanaa yanayogusa moja kwa moja masuala ya Mabadiliko ya tabia ya nchi, pale Oysterbay Drum.
#learnwithart
#climateartcafetz

Ndo muda kumalizia malizia,kama uko karibu wahi ukajionee mambo ni bure kabisa hapo masasi art Cafe.
#learnwithart #climateartcafetz



Kinadada wanafurahia ubunifu wa vijana Canvas zinatoa picha halisi nzuriii
Sogea hapa Masaki Art Cafe
Ni buree #learnwithart #climateartcafetz

Hali ilivyo hapa the Drum Oysterbay.
Maonyesho ya sanaa mbalimbali zinazobeba maudhui ya Climate change.
Bado hujachelewa.
#learnwithart
#climateartcafetz

Yanayojiri @thedrumtz oysterbay kwenye Climate Art Cafe, mabadiliko ya tabia nchi kwenye michoro.
Canvas ni nyingi na zinatolewa bure, karibuni.
#learnwithart #climateartcafetz

Drawing for climate change
Naambiwa hakuna kiingilio chochote Climate Art Cafe, canvas zipo kibao na ni bure pale The Drum, Oysterbay.
#LearnWithArt #ClimateArtCafeTZ

Ngaira (@NgairaM ) blessed us with his presence! We are happy and honored to have him here.. 🎉🎉🎉
#learnwithart
#climateartcafetz


Yanayojiri @thedrumtz oysterbay kwenye Climate Art Cafe, mabadiliko ya tabia nchi kwenye michoro.
Canvas ni nyingi na zinatolewa bure, karibuni.
#learnwithart #climateartcafetz

Kwa wale wanaopenda kuchora au kwenda kung'arisha nyumba Canvas zipo za kutosha unapewa buree
Karibu Masaki Art Cafe #learnwithart
Ni bure hujachelewa tupo mpaka saa 9 mchana #climateartcafetz


Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




























