Top Tweets for #MAHABUSU
@HekimaMwasipu @SuluhuSamia Ungana na @malickmansoortz @kissadaniel2 pamoja, @exaudwamtei na #DavidGumbo muda huu ndani ya #EastAfricaRadio
#HakiJinai #RaisSamia #JajiOthmanChande #Ikulu #Mahakama #Polisi #Mahabusu #Taasisi #Wakili
Maboresho gani yafanyike ndani ya jeshi la polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wake?
Maoni yako yatasomwa kwenye #SupaBreakfast ya #EastAfricaRadio
Ungana na @malickmansoortz @kissadaniel2 pamoja, @exaudwamtei na #DavidGumbo.
#Polisi #Mahabusu #Gerezani #Jela

Ungana na @malickmansoortz @lucasmasungwa @kissadaniel2 @exaudwamtei muda huu ndani ya Supa Breakfast ya #EastAfricaRadio
#Polisi #Mahabusu #StellaAjinyonga #Mburahati #Magazeti
Wadau wa masuala ya #sheria wameunga mkono agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba #polisi wamalize #upelelezi kwanza kabla ya kumweka mtu #mahabusu.
https://t.co/spRtgZMNZ5
SIKU YA VIJANA DUNIANI
"Youth Engagement for Global Action"
#MAHABUSU SIKU 32.
Kesho Agosti 13, 2020 rufaa Na. 111/2020 iliyofunguliwa na Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. @hanje_nusrat na wezake 7 katika Mahakama Kuu Dodoma, itasikilizwa.
#FreeNusrat
#FreeMwaipaya

SIKU YA VIJANA DUNIANI
"Youth Engagement for Global Action"
#MAHABUSU SIKU 32.
Kesho Agosti 13, 2020 rufaa Na. 111/2020 iliyofunguliwa na Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. @hanje_nusrat na wezake 7 katika Mahakama Kuu Dodoma, itasikilizwa.
#FreeNusrat
#FreeMwaipaya

@jakyoo95 @AfricaClever @HecheJohn Shida kubwa ya #VIJANA wa @ChademaTz wamekosa #MALEZI bora Na #MAADILI Ndio maana hata lugha zao ni za #MATUSI Na #JAZBA bila sababu za msingi ndio maana yanaendelea kuishia #JELA au #MAHABUSU
Habari za asubuhi ndugu zangu
Naimani wote tumeamka salama na tulilala usingizi mzuri lakini tambua kuna watu wapi huko #Gerezani na #mahabusu wanatamani kupata fursa hiyo.
#FreeIdrisSultan
"7. Katika #BaruaKwaRais tulipendekeza #Mahabusu magerezani wapunguzwe kwa kuwapa Dhamana. Watu kama Tito na Theo hawawezi kusikiliza Kesi wakiwa nje? DPP anapata faida gani kujaza watu mahabusu wakati wanaweza kuhudhuria Mahakamani wakiwa nyumbani?"
@zittokabwe

7. Katika #BaruaKwaRais tulipendekeza #Mahabusu magerezani wapunguzwe kwa kuwapa Dhamana. Watu kama Tito na Theo hawawezi kusikiliza Kesi wakiwa nje? DPP anapata faida gani kujaza watu mahabusu wakati wanaweza kuhudhuria Mahakamani wakiwa nyumbani?

"polisi fanyeni lolote na mm nitawa- Support" -Malaika wa Tanzania 2018.
@tanpol watu wanafia #Mahabusu, ndugu wanabiwa #Kajinyonga.
#Rais_Wa_Wanyonge, kwann watanza is tunaona kama #Rais ndo #Muamuzi was yote? @ChangeTanzania @WateteziTV
Wanyanyasaji wanatumia hili kupima kama wanauwezo gani wa kudhibiti #Watanzania. Kama hawa jamaa wanaburuzwa hivi #Mahabusu, je mkulima & mfugaji wanaweza #Wakaikosoa Serikali ili hali hanajua inauwezo hata wa #Kuwanyanyasa_Wanasheria na isifanywe lolote?
@TanganyikaLaw
Hivi kweli baada ya ukiukwaji mkubwa wa HAKI za BINADAMU walizokumbana nazo Tito & Theo tangu kukamatwa, kushikiliwa na kushtakiwa kwa miezi sasa, @humanrightstz Mnashindwa kuitisha peaceful protest ili sisi wananchi tuonyeshe kukerwa na kuumizwa na sheria hizi kandamizi? 😢 😢

Tayari ameshapelekwa #Mahabusu naipongeza sana @tanpol japo mmemchelewesha sana mkimkalisha huko segerea kama @godbless_lema alivyokaa kisongo akawa analia peke yake kama mtoto mtakuwa mmemtendea haki
#Nyumbu @Advocate_Jebra anahaha utadhani kapatwa msiba
Maafa ya mgogoro Kigoma.
Waliokufa:
▪Raia 2
▪Polisi 2
Jumla watu 4 walikufa.
@zittokabwe kaita press conference na kutangaza kuwa RAIA 100 wameuawa na polisi.
Hivi huyu mtu ana tatizo gani?
Hii ni kwa faida gani au ya nani?
#mahabusu : ni sehemu wanakopelekwa wote wenye mawazo ya Kisiasa Tanzania, kilichosahaulika ni ule usemi wa Muosha Huoshwa #ChangeTanzania @MabalaMakengeza @MariaSTsehai @MarekaMalili
@zittokabwe Siasa ya kukamatwa kamatwa imepitwa na wakati jenga hoja kwa umakini leta tija kwa taifa uwe sehemu ya mabadiriko ya kiuchumi.#mahabusu
Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimits((()))*************************************************
Seen from United States
minichat within_time:120m has:videos
Seen from Netherlands
blackHennessy
Seen from United States
ometv
Seen from Austria
public groping()
Seen from Brazil
snapchat
Seen from Argentina
bursatravesti
Seen from Netherlands
bốchồngnàngdâu
Seen from Vietnam
ورعان
Seen from Egypt
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


















