Top Tweets for #PMawenge
#BURUDANI Anko P Mawenge akielezea Tamaduni Music ilivyo-inspire na kushape rappers wengi kwenye muziki wa HipHop.
Itazame na isikilize live kupitia #EATV na #EastAfricaRadio na Youtube ya #EastAfricaTV.
#FridayNightLive #FNL #PMawenge #HipHop
#BURUDANI Rapa wa Taifa P Mawenge akielezea chanzo cha ugumu wa shows za wasanii wa HipHop ndani ya Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive.
Itazame na isikilize live kupitia #EATV na #EastAfricaRadio na Youtube ya #EastAfricaTV.
#FridayNightLive #FNL #PMawenge #HipHop
#BURUDANI @pmawenge akifunguka mipango yake ya kufanya kazi na wasanii wa BongoFleva @Realjaymelody @_Kusah_ na Marehemu Richard.
#PlanetBongo #Manengo #PMawenge #HipHop
#BURUDANI "P Mawenge ndio mwanamuziki pekee wa HipHop ambaye ana Humbleness Level ya juu kuliko msanii yeyote kwenye hii nchi" - Manengo Tz
#PlanetBongo #Manengo #PMawenge #HipHop
#BURUDANI Rapa P Mawenge ameshea nasi somo la muziki alilopewa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha @nikkwapili baada ya kuzungumza naye kwa Dakika 30.
#PlanetBongo #OFFAIR #DCNikkWaPili #NikkWaPili #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
#BURUDANI "Wakazi wa kazi gani" - Ni line ambayo ameichana @MotraThe kwenye ngoma ya Underrated akimdiss @Wakazi
Mzabuni wa wiki ya 8 kutangaza #PlanetBongo Jackline Fourteen amemuuliza kwanini amepita na line hiyo.
#PlanetBongo #OFFAIR #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
#BURUDANI Rapa @MotraThe amenyoosha maelezo sayarini #PlanetBongo kinachokwamisha kutoachiwa kwa ngoma yake na @diamondplatnumz
#PlanetBongo #OFFAIR #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
#BURUDANI Baba'Ako @MotraThe akizungumzia hali anayoendelea nayo rapa #ChidiBenz baada ya kutrend mitandaoni ambapo ameshauri apewe msaada.
#PlanetBongo #OFFAIR #ChidiBenz #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
#BURUDANI Mzabuni wa wiki ya 8 kutangaza #PlanetBongo Jackline Fourteen akiwauliza rappers @MotraThe na P Mawenge kinachoendelea kati yao baada ya kutupiana Diss.
#PlanetBongo #OFFAIR #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
#BURUDANI Rapa wa Taifa P Mawenge amemjibu @MotraThe kuwa hawezi kufanya muziki wa Amapiano mpaka kuwe na Tsh Milioni 25 mezani.
#PlanetBongo #OFFAIR #PMawenge #MotraTheFuture #HipHop #Rap
Alichonifunza mother nikuwa humble,
Sio kila mada niwe wa kwanza kuzua jambo,
lijali nimefunzwa kukaza naijua jando,
ila ikiletwa vita na hawa vilaza nakua Rambo๐ฅ๐ฅ๐ซ
#PMawenge

#BURUDANI Kwa P Mawenge hata ukimuasha usiku wa manane akutajie rapa wake bora wa kizazi cha sasa atamtaja Cannabino Conboi kwa sababu ya uandishi wake, flows na anajiamini.
#PMawenge anasema namba 1 atakuwa Conboi ila hajui namba mbili na tatu hajui atakuwa nani.
#PlanetBongo #PMawenge #Conboi #HipHop #Rap
#Lostson by me @0fficialsoni ft @pmawenge & @Miathelathini_ OUT NOW LINK IN MY BIO
Tafadhali Subscribe kwenye YouTube Channel yangu Link hapo kisha icheki, drop comments zako, Like & Share. THANK YOU
#bongohiphop #bongoflava #newvideorelease #pmawenge
Hongera sana ๐๐๐๐ฝ๐๐ฝ
Tunampa rapa wa taifa @pmawenge maua yake kwa kufika kwenye level ya PLATINUM ๐
Endelea kutupatia vibao vikali ๐ถ
#MdundoMilestones #MdundoForArtists #PMawenge #HipHop #PtheMC

Hivi unajua kirefu cha jina la rapa PMawenge @pmawenge? Huyu hapa anafunguka kirefu cha jina hilo na maana yake kupitia #OFFAIR ya #PlanetBongo.
#PlanetBongo #OFFAIR #PMawenge
Itoshe kusema motraa ni raper mnoma sana
#BabaakoEp๐ฅ its out now Humu ndani #Pmawenge kapigwa na kitu kizito mno๐คฃ
Japo vikwazo ni vingi basi nifanye niweze survive/
Tumeshakua madingi Lord we need to be alive/
Nipate kwanza magimbi ndipo nikuombe car to drive/
Na nna mengi tu ya kukuomba, not three four five/
#Sala #KikosiKazi #PMawenge
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers












