Top Tweets for #PrayForMorogoro
Majeruhi saba wa ajali ya moto Morogoro waliokuwa wamelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefariki jana na kufanya idadi ya majeruhi waliofariki hospitalini hapo kufikia 21 hadi sasa.
Majeruhi wengine 25 wanaendelea na matibabu, 16 wakiwa ICU.
#Morogoro #PrayForMorogoro 😭😭

Hivi unajua ni kosa la jinai kukaa na mafuta aina ya petroli ndani ya nyumba za makazi? mafuta hayo yanapaswa kuhifadhiwa kwenye vituo vya kuuzia petroli tu.
Msikilize zaidi Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uoakoaji mkoni Morogoro, Gilbert Mvungi.
#Morogoro #PrayForMorogoro
Kama elimu haitakuwa kipaumbele na Kama maisha yetu yakiwa yamepakaa umasikini zaidi aiseee ata gari ingine ikimwaga mafuta hatuwezi acha yakakauka yenyewe
#tejausichomoebetri
#prayformorogoro
#educationforall
Hili ni eneo la makaburi ya Kola Mkoani Morogoro mahala ambapo Watanzania wenzetu wapatao 69 waliopoteza maisha kwa ajali ya Lori la mafuta walipumzishwa hapo jana
#PrayForMorogoro
#AjaliMorogoro


my heart is with the victims, families and people of Morogoro. #PrayForMorogoro
Ni majonzi!! Mmoja wa waombolezaji katika viwanja vya hospitali ya rufaa ya mkoa wa #Morogoro ambapo miili ya waliofariki katika ajali ya moto wanaagwa.
#PrayForMorogoro #Tanzania

Timu nzima ya Famasi Jamii tunaungana na watanzania wote katika kipindi hiki cha majonzi kwa ajali ya moto mkoani morogoro!
- tunatoa pole za dhati kwa familia za marehemu pamoja na majeruhi wote!
#PrayForMorogoro
#famasijamii
W/Mkuu Majaliwa: Naogopa msije (Wanahabari) mkaingia kwenye matatizo na Sheria ya Takwimu. Kuanzia sasa chukueni za Mkuu wa Mkoa
> Mlisababisha jana nikazungumza uongo. Nikiwa na wasomi wa Vyuo Vikuu nikaona taarifa wako 100 kisha 120 nami nikataja hiyo idadi
#PrayForMorogoro
Waziri Mkuu Majaliwa: Vyombo vya habari mnapoendelea kuhabarisha watanzania tuelewane jambo moja kuhusu takwimu
> Jana takwimu zilikuwa zinachanganya sana hivyo msijisemee tu. Anayetoa takwimu sahihi ni Mkuu wa Mkoa
#PrayForMorogoro #JFLeo
Waziri Mkuu Majaliwa: Naunda Tume ichambue vizuri na hata kama mimi nitakuwa sikuwajibika wanitaje kisha Serikali itajua cha kufanya
> Ninajua Trafiki huwa na haraka sana, ajali inapotokea. Je, nani aliwazuia wenzetu waliotangulia mbele za haki kuchota mafuta?
#PrayForMorogoro
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Manispaa kuna kitengo cha Zimamoto, japo najua walikuja kuzima ila ni baada ya muda gani?
> Nasikia tumeokoa mafuta, sasa tumeokoa yakiwa yameisha?
> Tume itasaidia kujibu maswali haya
#PrayForMorogoro #JFLeo
AJALI YA MOTO MOROGORO: Waziri Mkuu Majaliwa kuunda tume itakayoanza kufanya kazi leo, Agosti 11 kubaini kama kuna mamlaka zilishindwa kuwajibika baada ya lori la mafuta kupata ajali na baadaye kutokea mlipuko uliogharimu maisha ya watu takribani 70
#PrayForMorogoro #JFLeo

RADIO UVINZA FM. Tunaungana na watanzania wenzetu kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa kupotelewa na ndugu zetu waliopoteza maisha mkoa Morogoro #prayformorogoro🇹🇿

UPDATE.
Idadi ya waliofariki kutokana na ajali ya Lori kulipuka jana #Morogoro yaongezeka na kufikia 68.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Stephen Kebwe amethibitisha. #PrayForMorogoro
UPDATE: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Kebwe amesema idadi ya waliokufa katika ajali ya Lori la Mafuta lililolipuka #Morogoro imefikia 68
#PrayForMorogoro #JFLeo
Our sincere condolences to all Tanzanians for the lose of friends and families during the gasoil fire accident in Morogoro. Our prayers are with you.
@PlanRESA
#prayformorogoro

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat() +++++++++++++filter:videos
Seen from Brazil
KArtnn
Seen from United States
เย็ดป้า
Seen from Singapore
brosis
Seen from Canada
gay
Seen from Turkey
อย่าซูม
Seen from Thailand
BB7FunMoments
Seen from United States
เย็ดเด็กมัธยม
Seen from Thailand
gloriatorres
Seen from United States
randochat
Seen from Spain
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















