Top Tweets for #Rununu
JE WAJUA waweza tazama taarifa nzima ya habari iliyotoka siku ya uhuru wetu kupitia #rununu yako 👉🏾 https://t.co/DqAgIVvwmL #ElimikaWikiendi

JE WAJUA? Wazee wa #rununu tunaungana nanyi leo #ElimikaWikiendi nikitoa 10 za JE WAJUA. Nitaangaza zaidi vionjo kuhusu 🇹🇿 #Tanzania yetu!

Kaka tulivyosema kipindi cha #Rununu #ElimikaWikiendi - Waafrika wengi wana huduma ya simu pasi kuwa na huduma ya maji taka ☀️ https://t.co/08vJbFAlvz
Only 30% of African surveyed citizens have access to sewerage system, yet up to 93% had cell phone coverage #G20Africa

Somo la Wazee wa #Rununu lote liko hapa! @mheleh01 @shurufu @CloudsMediaLive @KenechiOkeleke @GSMA @GIVENALITY https://t.co/dQG4GOOdog
⚡️“Make the Most of the #AfricanMobileVideo Revolution |#ElimikaWikiendi” Somo la Wazee wa #Rununu lote liko hapa!
https://t.co/q5V5ByKPbR
⚡️“Make the Most of the #AfricanMobileVideo Revolution |#ElimikaWikiendi” Somo la Wazee wa #Rununu lote liko hapa!
https://t.co/q5V5ByKPbR
You'll do great. Did you see our #rununu run last Sat on EW? 💡Tip: make time to prep all the tweets before the day (pics, links, 140chars)☀️ https://t.co/C6VSF3SZmo
Nervous! https://t.co/tcARLCRowd
Uamuzi huu si wa leo/kukurupuka.
Tazama👉🏾 https://t.co/TfZGcgMKuT kuelewa historia nzima | Video #rununu ya @OnaStories|cc @TanzaniaHistory

Hongereni sana #WazeeWaRununu kwa kutuelimisha. Wanyakyusa walihisi umekosea na unamaanisha "Tununu" (vizuri) kumbe "rununu" ni simu 👏👏👏👏 https://t.co/JcHLsVNFQO
RT @OnaStories: Bara letu ni Bara la #RUNUNU. Ukipuuza umuhimu wa muktadha huu unapopanga mikakati yako, utafeli. | #ElimikaWikiendi ☀️ #Af…
RT @DrMabula Tuanze na wale ambao bado wanajiuliza... #RUNUNU ndo mdudu gani? | #ElimikaWikiendi ☀️ #AfricanMobileVideo #mobile #data ht…
@VodacomTanzania hii kama inawahuu vile 😉 #ElimikaWikiendi #Rununu #AfricanMobileVideo @OnaStories https://t.co/rukmTGUcDP
Huduma chache sana zimeweza kupenya barani kwa kiwango cha simu za mkononi #rununu | #ElimikaWikiendi ☀️ #AfricanMobileVideo

Tunatumai umefurahia session yetu Wazee wa #Rununu @KC_Gosso 🙏🏾☀️☀️☀️☀️ #AfricanMobileVideo #elimikawikiendi https://t.co/SZLI6KJ4Vx
Shauku yangu kubwa ya #ElimikaWikiendi kesho ni mautundu ya @OnaStories pa1 na 10 za #JeWajua na @Yose_hoza.
😊😊😊😊😊 Asante sana @VodacomTanzania | #ElimikaWikiendi #AfricanMobileVideo | @OnaStories☀️ Wazee wa #Rununu https://t.co/Qf0TAW3d01
Tunawafuatilia kwa ukaribu wazee wa Rununu. Asante kwa tag yenu. #ElimikaWikiendi https://t.co/USFb1MhyIL
Wazee wa #RUNUNU tumemaliza! Tumefurahia ushiriki wako👏🏾 - endelea kusambaza jumbe hizi ziwanufaishe wengi | ☀️ @OnaStories #ElimikaWikiendi https://t.co/SrzlKok2oq
Tutaangazia (1)Sekta ya #rununu barani (2)Umuhimu wa #content za rununu karne hii (3)Mbinu x mifano | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo

Mahusiano ya washiriki sekta ya #RUNUNU yatahitaji nguvu zaidi. Mtazame @tulanana @TEDx https://t.co/z5NtKRraSy | #ElimikaWikiendi ☀️ https://t.co/eOWwFzD2E9
How prepared are #AfricanMobileVideo value chain dynamics? | Our @tulanana explores in her @TEDx talk, watch here: https://t.co/z5NtKRraSy

Ubunifu wa kweli huzingatia jukwaa. Siyo cha kwenye #RUNINGA ukilazimishie kwenye #RUNUNU | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo #innovate

Kwa sasa, video #RUNUNU Afrika ni ka' dampo la kuchakata uchafu. Angalia: https://t.co/z5NtKRraSy | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo

Mpaka sasa… Tumeangazia sekta nzima ya #rununu barani | Sasa tuangalie #content | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo https://t.co/SrzlKok2oq
Tutaangazia (1)Sekta ya #rununu barani (2)Umuhimu wa #content za rununu karne hii (3)Mbinu x mifano | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo

#Rununu ni njia nyingine ya kipekee kufikisha elimu mbalimbali kwa raia, kama jumbe za afya au hata uchumi.
#ElimikaWikiendi @OnaStories
Kutumia fursa za #rununu ipasavyo, jielimishe na #data kamili. Anza hapa 👉🏾 https://t.co/WSm6dpk90e | #ElimikaWikiendi☀️ #AfricanMobileVideo

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













