Top Tweets for #UBAGUZI
RAISI MAMA SAMIA KAKUTAJA NA #UBAGUZI HAIJAWAHI TOKEA TZ🇹🇿 📚💦
>>Alipokua #makamu wa raisi kipindi cha utawala wa John pombe #magufuli hakuandwamwa kwa lolote;
🫴LEO KAWA RAISI _WAKAANZA KUMUIMBIA SLOGAN ZA; UDINI NA UKANDA NA HSTA UKABILA KABISA
🔹️UISLAMU
🔹️UZANZIBARI
🫴MARA JAMAA WANATAKA NA MUUNGANO UVUNJIKE KABISA 🖐🤣
🔹️KWANI MLIKUA WAPI WAKATI RAISI MKRISTO ANAMPINDUA #AMANI ABEDI KARUME NA KUUILAZIMISHA #ZANZIBAR IWE KOLONI LA TANGANYIKA⁉️
QURAAN; 2;120
"hawatokua radhi na nyie mpaka mfate mila zao..."

@RamaNzaramba @dr_dash250 umuntu utarajya TZ niwe wakwivugishwa ko bariya bajama ko batagira #ubaguzi, jyayo uri umunyarwanda ufite pasiporo nyarwanda urebe ibyo bagukorera uhereye kuri immigration officers ubwabo.
@dr_dash250 D²250 yigereyeyo neza neza! Avenue du Lac. Ndihirya gato hafi ya "Port". Hafi yaho bita kwa Yologo 🙈! Reka ntabivuga byose. Ndyamanye #Kinubi harumuntu nzayikubitisha mumajigo ingengas ihite imuvamo n'abamukomokaho bose. Piga adui atapike #Ubaguzi

Hakuna #Ubaguzi kwenye Uislamu ukiona Muislamu ana chembe chembe za ubaguzi huyo ana chembe na nongo za Jahiliya
Amesema Mtume Swala na Salamu ziwe juu yake:
((Hakika hakuna ubora wa Mwarabu kwa Muajemi wala Mweupe kwa mweusi ila kwa Uchamungu pekee .))
غاية المرام 313.

Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Ubaguzi na #Unyanyapaa ni tukio linaloadhimishwa Machi Mosi ya kila Mwaka likihamasisha uelewa na kuchukua hatua dhidi ya #Ubaguzi na Unyanyapaa katika Jamii
Siku hii inalenga kuelimisha Umma kuhusu madhara ya Ubaguzi na Unyanyapaa kwa Watu na makundi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi na Magonjwa Sugu, Watu wenye Ulemavu, Wakimbizi, na Makundi mengine yanayodhulumiwa ili kuheshimu #HakiZaBinadamu
Ubaguzi na Unyanyapaa unaweza kutokea katika maeneo mengi ya Maisha ikiwa ni pamoja na katika #Elimu, Ajira, Huduma za #Afya, na hata katika Maisha ya kila Siku.
Soma https://t.co/w0dcKev2Kj
#ZeroDiscriminationDay #JamiiForums #HumanRights

Waarabu wamenyooshwa sana hii AFCON! Inapendeza kwa kweli!
#Ubaguzi
Marekani yamuenzi Martin Luther King Jr. leo Jumatatu kumuenzi mchango wake katika kupigania haki za watu weusi... . Hii ni moja ya nukuu muhimu aliyoitoa kuhusu Afrika Kusini...
#martinlutherkingjr #Marekani #Afrika #voa #voaswahili #hakizakiraia #ubaguzi #sera #AfrikaKusini

@OleMtetezi Acha ufala kama hastahili kuwa hapo Aliwezaje kuwa Mbunge?? Na huyo mke alimuoa mama yake akiwa Rais wa nchi?? Mnawivu sana ... mengine hatuwaungi mkono bana #ubaguzi
Kwa heshima na taadhima Madam, hili la #Ubaguzi linatoka wapi? Wanaolalamika wanataja makubaliano/mkataba wenye vifungu chechefu. Mbona Wachina hawajabaguliwa pamoja na kupewa kandarasi karibu zote za ujenzi wa barabara hapa nchini?
#TANZANIA
“Msikubali wala kuwasikiliza wabaguzi wanaotaka kuwagawanya kwa kuwakatisha tamaa hususan katika mradi wa uwekezaji wa bandari mnapaswa kutambua nchi iko salama na mimi kama Spika wa Bunge na Rais Samia tuko salama katika kuwatumikia Watanzania,” Dk Tulia Ackson

Wabunge wetu 'wanaouchukia' sana #Ubaguzi
Mzee Zimale, kama una muda tupia jicho Televisheni yetu ya Taifa au Star TV. Wako live wakichakata makubaliano ya Tanzania na Dubai yaliyozaa 'sakata ya bandari'
@LongaZimale
@AKibasumba @MuyeheEmile @AKehris @WairimuANderitu @USAmbDRC @AmbaFranceRDC @Allemagne_RDC Et ça? Vous avez oublié que ce sont des #Tutsi qui ont commis ça? Ce sont les congolais majoritairement les BABEMBE qui ont succomber ici. pourquoi ne sont pas figurés sur votre liste?
Toujours #UBAGUZI le grand caractère des #TUTSI

Haijamuondolea haki ya kuwa Mtanzania. Na kama Mtanzania ana haki ya kuishi na kuhudumu popote ndani ya mipaka ya Tanzania! Uzanzibari si tatizo kwa nchi. Punguzeni #Ubaguzi
Shaka Hamdu ni Mzanzibar lakini ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Morogoro Tanzania Bara (Tanganyika),
Je, Inawezekana kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini Zanzibar?
Comments ziwe fupi fupi tu.

"No white, no red, no patterns!" - @bernardndong January, 2023
Me - "Baby blue it is!"
Also me - Gets on set - "Why are those chairs red... with patterns?!"
#Ubaguzi

Katika baadhi ya maeneo, watu walio na #hepatitisB wananyimwa nafasi za kazi na kijamii. Tunahitaji #KukomeshaUbaguzi.
Jifunze zaidi kuhusu Usajili wa #Ubaguzi wa Hepatitis B Foundation hapa: https://t.co/Xlg9wuXB1j
@CHIPO_HBV @swang8 @DanjumaAdda @Hep_Alliance @cdchep @WHO

Wadau wa Siku ya Amani Duniani watoa wito kuwa mataifa yafanye bidii kukomesha vitendo vya ubaguzi hasa ule wa rangi kuepusha watu kukosa amani ili wasiishi katika hofu.
#dunia #amani #kaulimbiu #mataifa #ubaguzi #rangi #makundi #kabila #voa #voaswahili #dunianileo
@Liberatus80 Kuna mijitu imejificha ndani ya CCM ni zaidi ya mishetani iliyojaa laana ,,..Haya ndio yanakwamisha maridhiano ya kisiasa,..yanatamani ziendelee siasa zile za chuki #ubaguzi na kutekana ,..Na hao wananchi kwanini wameyakalia kimya wasikinukishe hapohapo?
💠Operesheni #TumeHuru kuelekea #KatibaMpya Tanga.
"Tumeambiwa hapa Tanga ubaguzi ni mkubwa. Mradi wa (kuhudumia Wazee wasiojiweza) TASAF unatolewa kwa kuangalia vyama! Zoezi la Sensa ambalo @ACTwazalendo tunaliunga mkono nalo limejaa uCCM! Zoezi la Post code, uCCM!" #Ubaguzi
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





















