Top Tweets for #UELEWA
🎉 Le président de Uelewa Faïz a donné le premier sac de l'opération "Cartables du Coeur" ! C’est parti, on continue ensemble pour cette belle journée de solidarité ! 🎒✨ #Solidarité #UELEWA #CartablesDuCoeur

Mwezi Machi ni Mwezi wa Kuchukua Hatua kwa Uhamasishaji wa #Saratani ya #Utumbo mpana pia Kuongeza #Uelewa wa Kuzuia Saratani ya Utumbo mpana 📝
Ambatana pamoja nasi mwezi huu 🔔
#SarataniHaituwezi #PamojaDaima
@wizara_afyatz @mohznz1 @ummymwalimu @CdcTanzania @WHO_Tanzania

@mwakasangadatus @EvelynJulius4 @spana_Konki Hata napo argue nao, ni vile tu niko concerned sana na hii TOPIC, hamna wa kunipuza hapo, I am not even in same level with them in making arguments, ni bahati mbaya nimejikuta kwenye Ubishi huu, hao raha yao wajibu shit then wa screenshot ili wapost. #uelewa
....nimemwelewa saana @SuluhuSamia hakuna ELIMU ya MFUMO wa HAKI watu wanaitaka KATIBA Kwa minajiri binafs na WATAWALA wameivunja TUME ya UCHAGUZI Kwa minajiri Yao tujenge CONSCIENCE #uelewa na #mwelekeo ili Katiba iwe na maana @siadevinci @bajabiri @darmpya_ @Jchris66283712
Sio kweli akili inakufanya ufanye maendeleo yoote katika mzania FANISI na hapa naongelea #INTELLIGENCY (WELEDI) sio UNDERSTANDING #UELEWA
Maendeleo ya akili ni muhimu kuliko maendeleo ya vitu.Maendeleo ya akili yana jengwa na tabia za kila siku ktk familia/jamii.Unafiki, upambe,uongo ikiwa ni sehemu ya maisha,maendeleo hayawezi kuwepo.Kuna uharibifu mkubwa wa tabia ya akili Nchini.Hatari sana
#November
Mwezi wa ufahamu kuhusu Saratani ya mapafu.
Takribani visa milioni 2 hugundulika kila mwaka na karibu vifo milioni 1.76 kwasababu ya Saratani ya mapafu huripotiwa kila mwaka.
@wizara_afyatz
@elimuyaafya
#Uelewa #SarataniYaMapafu

@MoudyMoudy126 Hasa hapo kwenye uelewa bro,,,wanatukataa wengi kwa kukosa uelewa,,na kukimbilia masponsa ambayo yenyewe hata hayawaoi mengi yao ni watu wenye wake zao #Uelewa
#UELEWA
Ibadah ya Kukaa Itikafu ni Ibadah ambayo kila mtu ana fanya kivyake pekee Msikitini, Ama watu kujikusanya Msikitini kwa kile walicho kiiita #Itikafu ya #Pamoja, jambo hilo ni Bi'daa na Uzushi katika Dini.
#ItikafuPekee
#HaihitajiJamaa
@atogsofficial #Tuliahidi na #Tumetekeleza!
Kampeni: Kuhamasisha Watanzania kushiriki katika Fursa za miradi ya kibiashara ya kimkakati
#JENGA #UELEWA #ONGEZA #USHIRIKI
Mikoa 8
Kata 24
Wilaya 134
3,210km
Dar, Singida, Tabora, Manyara, Shinyanga, Kagera, Geita, Dodoma & Tanga

Tumeambiwa Wewe ukivaa Barakoa,sio tu unajilinda wewe mwenyewe bali Unalinda hata na wengine pia.
#Uelewa.
Kuna baadhi ya magari ya abiria unakuta ni watu wawili au watatu tu ndiyo wamevaa mask..je ni umasikini au wana puuza tu..?!
@NitumeChap Maana humu kuna watu wana akili nyingi kama zenu
Kujua zaidi tembelea #website Yetu ya https://t.co/V9QrbR133L
#walimu #madrasa #quran #tafsiri #maana #hifdhi #elimu #uelewa #elewaquran #somaquran #utaratibu #mfumo #ufundishaji #maisha #dini #uislamu #elimuyasheria #elimubilamipaka #chapisho #maoni #islamicftz

#Barua
@freemanmbowetz "Huu ni mwaka wa uchaguzi, kama ujuavyo mwaka wa uchaguzi uhitaji #busara, #uelewa na #uvumilivu hili kuivusha nchi salama"
Mwalimu @MabalaMakengeza atoa ya moyoni kuhusu #ELIMU, #UELEWA NA #KISWAHILI
@JosephineLemoy2
@KiswahiliPrize
@ThayakiTanzania
@masoudkipanya
@mshambuliaji
@Hakingowi
@Dullahmwinyi1
@bunge_tz
@ikuluzanzibar
@IkuluTanzania
@Vicent_mashinji Kwanini usishughulikie #MATATIZO makubwa ya chama chako bwana Vicent?
Comment yako inaonesha wazi kuwa huna #UFAHAMU au #UELEWA juu ya #NAFASI na #POWER ya KM wa @ccm_tanzania
Vipi #KIKAO cha #NGOME kule Nairobi utaenda? Mbowe yupo njiani
@Qahlan1 @TanganyikaLaw @Yahya_Kifyatu @UsalamaWaTaifa @pallangyo54 @KipepeComrade @maestrowafact Una akili fupi sana , mwanangu wa mwisho wa miaka miwili anakuzidi #UELEWA nina kila sababu ya kukuita #Nyumbu 😂😂😂😂😂
@Charliebihemo Huuu UHURU usiojali ASILI yetu na UTAIFA unanipa mashaka wanasiasa wanakula obsessed na umaarufu #SURA hawapimi madhara ya matamko #uelewa
Last Seen Hashtags on Sotwe
ลักหลับชายแท้
Seen from Thailand
omegle () +filter:native_video
Seen from United States
muscularasian
Seen from Indonesia
รับงานพะเยา
Seen from Thailand
pmv
Seen from India
incestomamá
Seen from United States
omegle
Seen from Austria
teeNager
Seen from Germany
trade
Seen from Norway
nolimit()filter:native_video
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers






























