Top Tweets for #UGATVUpdates
#UGATVUPDATES: JE Unaujua ukubwa na utamu wa NYANGUMI?....
Hivi ndivyo wakazi wa Shehia ya Maziwang'ombe, wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba wamejitokeza kumshambulia SAMAKI huyu mkubwa aliyeonekana katika ufukwe wao.
๐ https://t.co/UQIUTQWlEP
#UGATVUpdates: CDF MPYA ATINGA IKULU ZANZIBAR. .. AZUNGUMUZA HAYA NA RAIS MWINYI KWA MARA YA KWANZA https://t.co/ge33wBWJrp
WASANII ZANZIBAR KUANZA KUNUFAIKA NA MZIKI WAO KUPIGWA NA VYOMBO VYA HABARI.
Soma zaidi ๐https://t.co/e12KETV8ab
#UGATV #UGATvUpdates #UGATVUPDATES #Zanzibar @cosotatanzania1 @BasataTanzania @TCRA_Tz
WAZIRI AIAGIZA ZAWA KUNUNUA MASHINE YA KUSUKUMIA MAJI KUONDOSHA MGAO KWA WANANCHI https://t.co/4bOeQCUrzL
#UGATVUPDATES
PETROLI ZANZIBAR HAIKAMATIKI, YAZIDI KUPAA HUKU DIZELI IKIONGOZA https://t.co/Kk2m7SLP17
#UGATVUPDATES
#UGATVUpdates: "Wanaosema Wananchi Hawamuelewi Rais Samia ni Vichaa"- WAZIRI NAPE @Nnauye_Nape
https://t.co/RYvPNa8XW5
@MshauriSerikali @HecheJohn @godbless_lema @kigogo2014 @ccm_tanzania

#UGATVUPDATES: Kaimu Mwenyekiti @ACTwazalendo
Dorothy Semu akikabidhi Kadi ya uanachama kwa Shafi Moh'd Shafi aliyejiuunga na chama hicho wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Konde. Kabla ya kujiunga na chama hicho alikuwa Katibu @ChademaTz mkoa wa kaskazini Pemba.

#UGATVUPDATES: Wananchi Jimbo la Konde Wilaya ya #Micheweni #Pemba wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge @ACTwazalendo uliofanyika leo katika Uwanja wa mpira Konde.
@zittokabwe @salimbimani2 @ACTZanzibar @ZanzibariYetu @abdulnondo2 @Wakazi

#UGATVUpdates: Mkurugenzi @TAMWA_Zanzibar Dkt. Mzuri aeleza Watoto wa kike wanavyokabiliwa na vikwazo haki ya usawa. #ZuiaUkatiliZanzibar
https://t.co/ubZSohMxU8 via @YouTube
@TAMWA_ @UN_Women @Twaweza_NiSisi @FinnishEmbTZ @unescodar
#UGATVUPDATES:
@salimbimani2 :"Tutamkumbuka Mhe. Khatibu kwa ujasiri wake wa kuwatetea Mashehe wa UAMSHO bila Woga." @ACTwazalendo
VIDEO ๐https://t.co/QIVH5NqDqs
@zittokabwe @abdulnondo2 @fatma_karume @ACTZanzibar @UmojaWaMataifa @AdoShaibu @millardayo @MwananchiNews

#UGATVUPDATES: MAZISHI YA MHE. KHATIBU
RC Kaskazini Pemba, Wawakilishi wamlilia Khatibu. Ameacha Pengo kubwa kw... https://t.co/fr3JzuMoWQ via @YouTube
@ACTwazalendo @abdulnondo2 @millardayo @JamiiForums
#UGATVUPDATES: Wasifu wa aliyekuwa Mbunge wa Konde Mhe Katibu Said. @ACTwazalendo
@zittokabwe @abdulnondo2 @abdulnondo2 @fatma_karume @ACTZanzibar @UmojaWaMataifa

#UGATvUPDATES: MAZISHI YA MHE. KHATIBU
Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar aongoza Mazishi ya Mhe. Khatibu Nyumbani kwa marehemu... https://t.co/lIrd1PXJjU via @YouTube
@ACTwazalendo @abdulnondo2 @AdoShaibu @zittokabwe @Dullahmwinyi1 @allysalehznz @millardayo @zanzibaryetu
#UGATvUPDATES: MAZISHI YA MHE. KHATIBU
Naibu Waziri: โMhe.Khatibu alikuwa akinihoji Bungeni kuhusu haki za Wanyonge... https://t.co/xISm3tSggp via @YouTube
@ACTwazalendo @AdoShaibu @zittokabwe
#UGATVUPDATES: Familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Konde yatoa Utaratibu wa mazishi.
Kuzikwa kijiji cha Shumba mjini Wilaya ya Micheweni. Wazee wamlilia.
VIDEO ๐https://t.co/tu5wcGQSw2
@ACTwazalendo @AdoShaibu @BungeTanzania @abdulnondo2 @zittokabwe @ACTZanzibar

#UGATVUPDATES:HISTORIA KISIASA MBUNGE JIMBO LA KONDE, KHATIBU HAJI.@ACTwazalendo
๐Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi ya Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1984 hadi 1987

Last Seen Hashtags on Sotwe
StopBlasphemy
Seen from United States
bootygrabbed
Seen from United States
showering
Seen from Switzerland
ูู
ูู
Seen from Italy
ููุจูุง_ุจุฑุณ
Seen from United States
monkeyapp
Seen from Poland
omegle() +filter:videos()
Seen from United States
LostLiberalDecade
Seen from United States
marian franco
Seen from Mexico
Teenagegirls()
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



