Top Tweets for #VIONGOZI
#VIONGOZI WA #IRANI🇮🇷 WANAIMBA DEATH TO AMERIKA KUMBE FAMILIIA ZAO ZINAISHI USA🇺🇲 BHANA🙈🤣📚💦
>>SASA MKILIPUA USA🇺🇲 SI MTAUA NA WATOTO WA MARAISI WA IRAN🇮🇷⁉️🤣
🫴WAKO USA🇺🇲 WANASOMA NA WENGINE WANAFANYA KAZI HUMO LOL🤣
➡️_ MASHIA WA KHIANA KAMA MAYAHUDI🇮🇱
🚨_hivi karibuni Marekani🇺🇲 yachukua hatua dhidi ya familia za watoto na familia za maraisi na viongozi wa Iran wanaoishia marekani🇮🇷📚💦
Ukaazi wa kudumu umefutwa kwa binti wa Ali Larijani — ambaye alikuwa akifanya kazi kama mhadhiri huko Atlanta.
Lakini hapa ndipo swali linapokuja…
Inakuwaje familia za wale wanaoiita Marekani🇺🇲 adui, zinaishia kuishi, kufanya kazi, na kunufaika ndani yake? 🤔
Utawala wa #Iran🇮🇷 hupiga kelele “Kifo kwa Marekani” na “Kifo kwa Israel”…
Hata hivyo, watoto wao wanaishi, wanasoma, na hata wanamiliki hati za ukaazi (green card) nchini Marekani.
Wakati huo huo, #Wairani🇮🇷 wa kawaida wanapata tabu kupata visa na hukumbana na vikwazo vingi.
Sema wazi: huu ni unafiki wa viwango vya juu📚💦
@Granitinho85459 @GShio @BlackWolfBeast @AbuuSumayyah10 @MasYusufSonda @SamakiOnline @SaumuYanga @MahenyeK @mpenda_TANZANIA

Amesema Mtume swala na salamu ziwe juu yake akieleza hali ya #Viongozi watakao kuja baada yake:
“Hakika watakuja kwenu nyinyi Viongozi watakuwa wakifanya mambo mtayapenda na mengine mtayachukia,
Mwenye kuchukia wanayoyafanya atakuwa amejitoa kwenye dhima na mwenye kukemea¹
#VIONGOZI WA DINI WA #KISHIA WA #KIDRUZE WAKIWA PAMOJA NA WANAJESHI WA #ISRAEL 🇮🇱
🫴hakafa masufy wanataka umoja ma mashia ili wakakomboe GHAZA⁉️
@HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @Rahim_Meghji

Wameanza kupata akili sasa, hapo kwene #Giant na #Viongozi makini amekanyaga shingoni bila woga.😂😂 @SimbaSCTanzania @SimbaSCFansPage
Wanayanga wenzangu tumejaa kwenye mfumo 😀
Mkutano wa #COP29 umeanza leo rasmi huko mji wa Baku,Mji wa Baku, mji mkuu wa Azerbaijan. Mkutano huu wa kimataifa unawahusisha #Viongozi, #Wanaharakati, #WatungaSera na #Wadau mbalimbali wa mazingira ili kujadili hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya #tabianchi.

Mkurugenzi wa idara ya ulinzi wa viongozi (Secret Service), Kimberly Cheatle, ajiuzulu baada ya kukiri kuwa idara hiyo ilishindwa kuzuia jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump. - Reuters
#mkurugenzi #idarayaulinzi #viongozi #secretservice #kimberlycheatle

Heri ya miaka 60 ya mapinduzi ya #zanzibar,, hakika #viongozi hapo awali walifanya Mambo makubwa✍️✍️
♠️ By@Antterrorist 🎓
♥️ Code 45#
♦️ #Professional DOCTOR
♣️ #Samuel 🇹🇿
Onesmo Olengurumwa ambaye ni Mratibu wa Kitaifa wa Muungano wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania akiwa jijini New York, Marekani, kushiriki mkutano wa kikao cha 78 wa UN.
#viongozi #mkutano #lengo #maendeleoendelevu #UN #voa #voaswahili #dunianileo
Viongozi wa ECOWAS warudi na msimamo mzito dhidi ya Niger.
Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #Dw24swahili
Powered by @techxltd
#dw24swahili #ecowas #viongozi #habarikuuduniani #habarikuuleokimataifa #habarizakiswahili #siasazasiasa
@fbuyobe Nilichojifunza @ChademaTz @ChademaDiaspora #viongozi wa juu hawana maadili ya kiuongozi wala yakuvumiliana ktk mitizamo tofauti,
hamtujengei uwezo wala kukipenda chama bali day to day mnatengeza mipasuko na ndio maana hata wale #covid19 ..Jinsia KE mlishindwa kusolve .. hovyo
#Viongozi serikalini akiwemo rais William Ruto,Makamu wake miongoni mwa viongozi wengine kuongezwa mishahara Kwa asilimia 14% kando na garama ya maisha kuwa ghali muno.
@malickmansoortz kwa uwezo wao na pia isiwe kigezo cha kupata au kukosa kwa kuwa ni watoto wa viongozi.
Ungana na @malickmansoortz @lucasmasungwa @kissadaniel2 @exaudwamtei muda huu ndani ya Supa Breakfast ya #EastAfricaRadio
#DAS #DED #Uteuzi #Viongozi #Habari
@Roma_Mkatoliki Wakati mwingine mdigo unaongea kama vitu vinakuja vinatoka,ilibidi nitumie njia mbdala #CheleaMan asikike kwenye #MapenziKituGani lakini ilileta shida ngoma ikakataliwa #Viongozi but walikuwa hawana namna cauz #Mhindi alikuwa anataka Album ikabidi wakaushe lakini ilikuwa mzozo.
Tunawatakia #Watanzania wote Maadhimisho mema ya #mapinduzi matukufu ya #Zanzibar. Mwenyezi #MUNGU Aibariki #Nchi yetu ya #Tanzania pamoja na #Viongozi wetu. @jokateM @SGordonGibson @ikuluzanzibar @mshambuliaji @salimosaid @AminaJMohammed @EndCEFM @DrHmwinyi @SuluhuSamia
Last Seen Hashtags on Sotwe
Wereschtschuk
Seen from United States
vgk link
Seen from Indonesia
authorsigned
Seen from United States
ميقا
Seen from United Kingdom
small
Seen from United Kingdom
小松達也
Seen from United States
RipTrell
Seen from United States
dmise
Seen from United States
dadandson(sex)***********
Seen from Pakistan
anxiouspanda
Seen from Spain
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






















