Top Tweets for #WAMASAI
Wananchi wa Kata ya Naberera-Simanjiro @simanjirodc Wananchi wa kata hiyo #wamasai kwa pamoja wamehamasika na kukubaliana juu ya kujenga vyoo kwaajili ya utekelezaji wa Afua ya Ujenzi wa Vyoo bora, mara tu baada ya hamasa ya nguvu ya Balozi wa Kampeni ya #mtuniafya @MrishoMpoto
@MwananchiNews Anamwagiza nani ? Mwaka 2020 huduma zilikuwa zinaendelela vizuri na #Wamasai walikuwa wanaishi vizuri. Hapa katikati kimetokea nini ?
Kama ameagiza hao waliositisha watachukuliwa hatua gani ? Vipi kuhamishwa kwao? Kuna siku wale wengine watarudi kuitafuta ardhi yao kama Palestina
Kumeibuka taarifa yenye picha na nukuu inayoonekana kuwa ni ya Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA-Bara, #TunduLissu ikiwa na ujumbe unaodaiwa ni wa kiongozi huyo ukiwakemea #Wamasai wa #Ngorongoro kwa kudanganya, ikifafanua huduma ambazo wanapewa baada ya kuhamishwa kwenye maeneo yao
Katika kufuatilia uhalisia wa taarifa hiyo, https://t.co/W8HIxVoqeH imewasiliana na Lissu ambaye amekana kuhusika na Nukuu hiyo na kueleza msimamo wake kuhusu yanayoendelea Ngorongoro.
Lissu amesema, "Hii sio ya kwangu. Mimi naunga mkono mapambano ya Wamaasai wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili. Walioandika ujinga huu ni wale wanaotaka kuwaondoa."
Soma https://t.co/m7HvVaNDAt
#Misinformation #Disinformation #FactsMatter #VisitJamiiCheck #MisDis04

@millardayo @mzeewakaliua Nilichogundua; Suala la huyu Binti limeibuliwa sasa hivi ili kuhamisha ajenda ya #Ngorongoro
Tunashukuru Wabakaji wamekamatwa na tunaitaka Mahakama kutenda haki; Sasa mwelekeo ni mmoja tu #Ngorongoro hadi #Wamasai wapate haki yao.
#MasaiSioWakimbizi
Asanteee #Wamasai Kwa kuwasha Njiti ya Kiberiti π₯
#HakiyaWamasai
#HumanRights
#StopMasaiImmigrationπΉπΏπΉπΏ

NITAWARUDISHA WAFANYABISHARA (WAMACHINGA) BARABARANI,Ubungo mataa.!
1.Eneo la Simu 2000 lilinunuliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati nikiwa Diwani Ubungo 2010-2015 kwa dhumuni la Kuweka miradi ya uwekezaji ili kukuza mapato ya Halmashauri.
2.Halimashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilifanikiwa kununua ekari 5 katika eneo lililokuwa mali ya kampuni ya Shirika la Posta na simu Tanzania,eneo maeneo mengine ya kanunuliwa na taasisi za Aga khan na Law School
3.Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikagawa eneo la ekari tano kwa matumizi ya Stendi ya daladala,Choo cha umma na Soko la mazao na biashaara ndogondogo 2013.
4.Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikafanya kosa kubwa sana la kugawa Vizimba vya soko Jipya la Simu 2000 kwa Madiwani ikiwemo mimi na watu wenye majina au nafasi Kubwa serikalini.
Jambo hili likapelekea Soko kudoda,kudorolana likawa ni soko tupu kwa miaka miwili
kwakuwa waliopewa Vizimba sokoni siyo wafanyabiashaara.
5.2016 nilipokuwa Mstahiki meya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,palikuwa na zoezi la kuondoa wanachinga barabarani na kuwapeleka maeneo rasmi.
Jeshi la Polisi na wagambo kwa agizo la Mkuu wa Mkoa DSM na Mkuu wa wilaya Kinondoni lilijaribu kuondoa wamachinga eneo la Ubungo mataa mara kadhaa bila mafanikio.
Walipigana mabomu,wakaharibu mali,wakafunguliwa kesi lakini Wamachinga Ubungo mataa hawakuondoka barabarani.
6.01 May 2016 nikiwa Mstahiki meya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni nilifika eneo la Ubungo mataa,kama Diwani wao na kama Mstahiki meya bila Polisi na wagambo
Nikaongea na Wafanyabiashara wadogowadogo (Wamachinga ) waliokuwa wanafanya kazi zao eneo la Ubungo mataa na kuwaomba niwapeleke eneo la Simu 2000
7.Niliwaambia kwakuwa Madiwani na watu wengine walipewa vizimba sokoni na maeneo nje ya soko wameshindwa kufanya soko lichangamke
basi kila Mfanyabiashara wa Ubungo aende aingie pale Sokoni Simu 2000, atakapo chagua kukaa ndiyo pa kwake.
Baada ya hotuba hiyo nilienda kwa maandamano mimi na Wafanyabiashara wa Ubungo mataa (Wanachinga) tukaingia sokoni Simu 2000 kila mtu akakimbilia sehemu aliyo ona inafaa.
Watu waliopita Jioni ya 01 May 2016 eneo la Ubungo mataa walishangaa kuona eneo limebakia Jeupe pasipo mfano.
Wafanyabiashara wote wamekubali kwenda Soko la Simu 2000
8.November 2017 baada ya mgawanyo wa Halmashauri ya Kinondoni na Ubungo
Sisi wa halmashauri mpya ya Ubungo tuliwaomba wenzetu watuachie Stendi ya Mawasiliano na soko hilo la Simu 2000
Na sisi tukakubali kuwaachia Stendi ya Makumbusho na soko la Makumbusho tena lenye uwekezaji wa ghorofa 5 ndani ya stendi ya Makumbusho.
Kwakuwa mali zingine zote tuligawana kwa share za 60% Kinondoni na 40% Ubungo.
9. Wiki hii nimeshangazwa sana na uamuzi wa Baraza la Madiwani Ubungo la July 2024
Kuamua kugawa bure eneo muhimu na la kimkakati kwa mapato ya halmashauri na kutaka iwe karakana ya mabasi ya mwendo kasi
Tena mabasi ya mwekezaji mpya aliyepewa tenda ya Kuendesha mradi wa mabasi ya mwendo kasi katika miundombinu ya serikali (DART)
10.Soko la Simu 2000 linauwawa na Baraza la sasa la Madiwani kwa kugawa bure na kupoteza mapato ya halmashauri
tena bila kuwashirikisha Wafanyabiashara wadogo waliopo sokoni
Wanavunja soko wakati huu kukiwa na miundombinu ya zaidi ya billioni moja (1,000,000,000)
ambayo iliboresha mazingira ya soko la simu 2000 kama ujenzi wa fensi,ujenzi wa mabanda ya Soko,Ujenzi wa choo sokoni,Ujenzi wa Vizimba,Umeme na maji.
Leo jasho la walipa kodi na ushuru wa Wilaya ya Ubungo linatupwa bure kwa hasara bila sababu kwa uroho wa fedha wa Viongozi wachache wa Wilaya ya Ubungo.
11.Kwakuwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na Uongozi wa Wilaya wameamua kugawa bure Soko la simu 200O kwa mwekezaji aweke gereji (karakana)
Basi mimi Boniface Jacob Mstahiki meya mstaafu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni na Ubungo nitaenda Kuwachukua Wafanyabiashara wangu nilio wapeleka pale miaka 8 iliyopita na Kuwarudisha barabarani,eneo la Ubungo mataa.
Asanteni
Boniface Jacob
Ex-Mayor

Naomba leo Mtuambie ukweli kwenye hili swala la Kuchukua Ardhi ya #Wamasai Katika Maeneo ya Ngorongoro,Loliondo,Kia,na Maeneo mengine mengi je Huo ni Utekelezaji wa Ilani ya @ccm_tanzania au ni pendekezo la wahifadhi @SuluhuSamia @KassimMajaliwa_ @BungeT

Kuna muda #wamasai wanaonekana sio watu kabisa kwenye hii nchi. Huyu kijana ameelezea vizuri kilichotokea.
@Daudi216 Hapa ni tanga kaka
Serikali imewajengea
#wamasai makazi yao huko baada ya kutoka kuleNgorongoro.
#NipazuriSana
@__abdulazack Hii data umeisemea vizuri sana kwa kweli mama @SuluhuSamia anafanya kazi kwa kipindi hiki kifupi ulichokiandika Ni sahihi kila Kijiji nchi hii maji yamefika hata kwa #wamasai vichakani huko Kuna mradi wa maji hakuna Kijiji kisicho na mradi
@mwala_harry @SuluhuSamia ulifikiri bunge utaliongoza weye tu, mama tumechanuka wala hatuna habari na madudu mnayoongea huko kwenye bunge la wazinzi sisi tunataka haki ya #wamasai na kila raia ziheshimiwe
Dhana ya MARIDHIANO ni pana na haipaswi kitafsiriwa kuwa ni MAPATANO ya wanasiasa na kuacha makundi mengine na manung'uniko.Kama nia ya dhati ipo,kaa na makundi yenye manung'uniko uwaondolee manung'uniko yao na sio wanasiasa peke yao. #Wamasai wa Ngoro2 ni moja kundi hilo.

@neemalugangira @SuluhuSamia Maridhiano sio kukubaliana na wanasiasa wenzako na kuacha makundi mengine yakiumia. Maridhiano ni kuhakikisha hakuna Kundi linaloachwa likinung'unika. #Wamasai wa Ngorongoro wako ma manung'uniko makubwa katika Nchi hii.
@SuphianJuma Unacho Fanya ndiocho walichofanyiwa ndugu zetu #Wamasai wamepigwa na Polisi kisha mnawaambia wakachukue PF3 kwa walio wapiga.
Leo wabunge walio na elimu ya Dalasa la Saba watunge sheria ya anae taka kuwa mbunge elimu yake ianzie #Degree tumsifu malehemu Tu.
"Hakujawai na wala hakutakuja tokea mpango wowote wa Serikali ya #Tanzania kuwaondoa #Wamasai kutoka katika ardhi ya mababu zao"- @jmkikwete 2014
Siku nyingine tena leo ikiwa ni siku ya pili mgogoro wa serikali na #Wamasai wa #Ngorongoro na #Loliondo
Tumeona picha mtandaoni na clip kadhaa. Ikiwa vinavyosambaa mtandaoni ni vya kweli basi #serikali yetu itakuwa imekosea pakubwa na inatakiwa kutafakari.
#NgorongoroCrater
Sisi tumechagua kusimama na #Wamasai. Tumechagua kulinda sheria zetu, Katiba yetu na Haki za binadamu na kulinda historia na utamaduni wetu. Tumechagua kulinda na kuwatetea watu wetu kwanza. Tunaitaka Serikali kusitisha dhuluma dhidi ya watu wetu. #StopMasaieviction

Last Seen Hashtags on Sotwe
ΩΎΨ§Ψ―Ϊ©Ψ³Ψͺ_Ψ·ΩΨ²ΩΎΨ±Ψ―Ψ§Ψ²Ϋ
Seen from Russia
mummification
Seen from Italy
celebai
Seen from Turkey
chastitycage
Seen from Germany
Unexpected
Seen from India
ZeynepAtΔ±lgan
Seen from Turkey
MalePenis
Seen from United States
GARLASCO
Seen from Italy
kimkardashian
Seen from India
911foreignterroristassaultonamericandemocracy
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers























![GiftWilliam_'s tweet photo. Kundi la #Wamasai limevamia Ubalozi wa #Kenya nchini #Tanzania na mabango yenye jumbe mbalimbali kupinga vitendo vya baadhi ya asasi zisizo za kiraia kuchochea na kuingilia mgogoro wa kuhamisha wananchi wa Loliondo.
@emmanuelmussa_ mabango yasomwe kwa sauti ya kimasai [Utani]. https://t.co/piDktGLnTu](https://pbs.twimg.com/media/FVc12OMXEAAr5zs.jpg)


