Top Tweets for #WatakeWasitake
Hatubadilishi Majenerali katikati ya vita.
Na hatutachagua viongozi wetu kwa matakwa ya sauti sijui ya nini clubhouse , au kelele za sijui Space ya nani...
#WatakeWasitake
@MariaSTsehai Kama walivyokataza kufanya Maombi alipopigwa lisasi TUNDU LISSU ,Vilevile Ccm hawataki Tumuombee SOKA ili waone aibu wamuachie. Tutabangaiza na Kuomba #WatakeWasitake.
Chama kinazungumza muda huu.
#WatakeWasitake

Mwenyekiti wangu wa KANDA ya MAGHARIBI (Tabora, Katavi & Kigoma) @AdvMatata akisalimiana na CHARIMAN @freemanmbowetz Leo hii kabla ya kuanza kwa kikao Cha kamati kuu jijini Dar Es Salaam
#watakewasitake

CHAIRMAN @freemanmbowetz anawatakia waisilamu wote na watanzania kwa ujumla AL-JUMAA KAREEM
#watakewasitake

#WatakeWasitake.
Kama humpendi @TunduALissu Kanywe Malimao.
Baba !#NiYeYeπ₯π₯π₯π¦π¦π¦π¦

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kimeendelea leo tarehe 02 Desemba 2024 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz.
#WatakeWasitake

Kikao cha kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea leo tarehe 02 Disemba 2024 jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. @freemanmbowetz.

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kimeendelea leo tarehe 02 Desemba 2024 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz
#WatakeWasitake

Nimetimiza wajibu wangu wa kupiga kura kuwachagua viongozi sahihi wa Chadema kwa nafasi ya Mwenyekiti na wajumbe watano wa Serikali ya Mtaa.
#ThePeoplesPower
#WatakeWasitake

Hatimaye Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Iringo anayejulikana kama Bakari aliyemjibu Katibu wetu wa Jimbo "HEMA HALIHAMI, NIMEMALIZA" amehamisha kituo hicho kwa nguvu ya UMMA.
#WatakeWasitake
#Tutashinda
Hapa ni Mtaa wa Iringo C, kituo cha kupigia Kura kimewekwa nyumbani kwa mgombea wa CCM wa Mtaa huu.
Tunawataka wahusika wakihamishe na kukiweka mahala pa wazi kwa mujibu wa Kanuni, nje ya hapo huu Mtaa Uchaguzi wake unasubiri HAUTAFANYIKA.

Semina kwa Mawakala wetu Mbeya mjini muda huuβ¦
#WatakeWasitake

Mkiti wa Mtaa wa Songambele JUMA SIMBA ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM amemdhulumu huyu mama kiasi cha shilingi 300,000/-
CCM ni janga la Taifa, ni LAANA kwa Taifa.
#WatakeWasitake
#Tutashinda
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.5M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers