Top Tweets for #cloudsmedia
China sasa na viunga vyake Foshan, Guangzhou sasa imehisi uwepo #MalkiaExposure kutoka Afrika Mashariki
Mkurugenzi wa Biashara na Maendeleo #CloudsMedia, Sheba Kussaga, Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian Masuka na Mratibu wa safari ya #MalkiaExposure @claramanyinya2 (CMG) pamoja na MalkiaWanguvu waliotua kwa mvuto, msimamo na dhamira ya kweli.
Kupitia jukwaa la Malkia Exposure, utamaduni wa Kiswahili, ujasiri wa mwanamke, na ubunifu wa Bongo sasa vinaangaza mitaa ya Guangzhou na viunga vyote vya UChina π¨π³.
#Asantekwatafuu @tantradetz @silent_ocean_ltd @utt.amis.
Zaidi #Tunein #Leotena Jumatatu-Ijumaa
kuanzia saa 4 Asubuhi - 7 Mchana
#MalkiaWanguvu2025
#TwendeDuniani
#GenC4Life

π· Team Malkia Exposure / Wafanyabiashara wakiongozwa na Mkurugenzi Wa Biashara na Maendeleo #CloudsMedia, Sheba Kussaga pamoja Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian Masuka (@lilianemasuka ) wametembelea ofisi ya Konseli Kuu ya Tanzania jijini Guangzhou na kufanya mazungumzo na Konseli Mkuu, Ndg Khatibu Makenga na Maafisa wengine kuhusu ujio wao nchini China.
#Asantekwatafuu @ubalozichina, @silent_ocean_ltd @utt.amis @tantradetz
#MalkiaWanguvu2025
#TwendeDuniani

All day Clouds βοΈ
#CloudsMedia

#WeekendVibe Malkia Wa Mipasho Nchini @officialkhadijakopa Akiperform Kwenye Miaka 25 Ya #CloudsMedia Jana Mlimani City.
.
Kwa Taarifa Zaidi Na Matukio Fuatilia Channel V Tanzania Kila Wakati.
.
#ChannelVUpdates
#WeekendVibes
#FeelTheExtraVibes
What do you see ?
#CloudsMedia


#MalkiaWanguvu Bi. Suzanne Ndomba-Doran, Afisa Mtendaji Mkuu, Chama cha Waajiri Tanzania (@ATE_Tanzania ) akiwa na Mkuu wa Maudhui #CloudsMedia @sebamaganga pamoja na wawakilishi kutoka @CocaCola wameshiriki katika zoezi la kupanda miti ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja (
#CSW2024).

Tafsiri ya @amrikiembatz kwenye tukio la Nahodha wa Dodoma Jiji Salmin Hoza kumfanyia faulo Nahodha wa Simba SC Mohammed Hussein na mwamuzi kuamua ipigwe penati langoni kwa Dodoma Jiji.
Pita YouTube kuusikiliza uchambuzi huu vizuri #CloudsMedia
Clouds are different today.
#Cloudsmedia

Leo kwenye #Chemba #suzibale_og amefunguka juu ya mahusiano yake na Mzungu na ameweka wazi kutotamani ndoa.
Kutazama interview nzima tembelea #YouTube channel yetu #CloudsMedia
Mkuu wa Mikakati na Ubunifu wa #CloudsMedia , @IamNchaKALIH akiwa kwenye kilele cha #TanzaniaDigitalMarketingSummit ametusanua namna ambavyo anakoshwa na ubunifu ambao umeonyeshwa na timu ya mpira kutoka 89.3 Mhz KIGOMA @MASHUJAA_FC
Tuambie timu gani inakukosha kwenye Ubunifu kupitia mitandao ya kijamii ?.
#TZDMS2024

Nukuu hizi zimesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii zikidaiwa kuwa za Mwenyekiti wa #SimbaSC #MurtazaMangungu
https://t.co/W8HIxVoqeH imewasiliana na Mwenyekiti huyo, amekiri kuongea na Vyombo viwili vya Habari #CloudsMedia na #TBC lakini amekanusha kutamka maneno yaliyobebwa na nukuu hizo kuhusu #ParOmaryJobe na yeye kufanya usajili.
Pia, #JamiiCheck imepitia ukurasa wa Meneja wa Mawasiliano wa Simba ambaye pia amebainisha nukuu hizo hazina ukweli wowote.
Soma https://t.co/DkATcvWdPr
#FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck

Uchaguzi South Africa wamkutanisha Cza na Kenyatta
Akiwa bado yupo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuhakikisha mdau wa #CloudsMedia haupitwi na chochote kuhusu uchaguzi wa Nchi hiyo @officialcza1 leo amekutana na kufanya mahojiano maalum na Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Pamoja na mambo mengine, Mheshimiwa Kenyatta ambaye yupo Nnchini humo kama muangalizi wa uchaguzi amegusia kuhusu uchaguzi ulivyokwenda na kasoro ndogondogo zilizojitokeza. Kupitia #cloudsfmtz na #Cloudstv tutakujuza zaidi yanayojiri kwa Madiba
#CloudsDigitalUpdates.

Nyota wa Muziki Nchini πΉπΏ #Alikiba Amezidi Kuibomoa Familia ya #CloudsMedia Kwa Kumchukua #Mwijaku Kama Mwanafamilia Mpya wa #CrownMedia.
Kabla ya Utambulisho Huu Mwijaku Alikua Katika Kipindi Cha #LeoTena Pale CloudsFM.
#MeaMswahiliUPDATES

Za ndaani kabisa inasemekana #CrownFm wamemalizana na The International Dj wakuitwa Mr Washawasha #DJ D'Ommy
Kuna taarifa znaonesha kuwa #CloudsMedia wameshampa blessing

@KenTheRemedy kwa niaba ya
WACLOUDSANIA waishio sumbawanga MJINI Tunatoa pole kwa Familia na #CloudsMedia kwa Kuondokewa na Mtangazaji wetu Wa #Jahazi π’, vile vile wacloudsania waishio sumbawanga wanaungana Kwa pamoja na Clouds Media katika kipindi hiki Kigumu
#RIPCaptain ππ

@chapo255 @chapo255 sio linapokuja swala la event,ila linapokuja swala la uchawa na pesa?
Nakwambia kama ulikuwa hujui zile ni pesa zinafanya kazi.Nguvu ya pesa
CCM wamewalipa pesa nyingi sana #cloudsmedia kwenye shughuli ya jana na malkia wao Mwenye walinzi 4 akiwa na miaka chini ya 16.
Mkurugenzi wa #CloudsMedia @josephkusaga akiwa ameambatana na mke wake #MalkiaWanguvu @ajmyinna (Mkurugenzi wa #PrimetimePromotion ) kwenye kilele cha MalkiaWaNguvu2024 Mlimani City.

Pakua picha zako za Dam Dam Marathon kupitia link hii https://t.co/oM1qTBkL8x

Last Seen Hashtags on Sotwe
desi
Seen from India
18plus
Seen from Thailand
ometv
Seen from United Kingdom
whitesub
Seen from Netherlands
ζΌ«ε±
Seen from Germany
ExtremeCloseUp
Seen from Turkey
maleomo @mikelikesppants
Seen from Australia
assoil
Seen from United States
γγ
γ‘γ倩ζ
Seen from Japan
cosplay
Seen from Poland
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


























