Top Tweets for #cloudsmedialive
Katika juhudi za kuimarisha nguvu ya vijana na wanawake mtandaoni, tunawaletea mtiririko wa maudhui ya #SautiZao kupitia Clouds TV. Hapa ndipo tunapo ungana kupaza sauti zetu na kuzilinda. Tusimame pamoja kuhamasisha mabadiliko. #CloudsMediaLive
#HakiZaKidijitali #MitandaoNaSisi

@DullahTheking2 Watu waelewe slogan ya #cloudsmedialive TUNAKUFUNGULIA DUNIA KUWA UNACHO TAKA. ukisha kuwa mkubwa na unaona njia imefunguka basi unaweza kuendelea na mambo Yako mengine
#7babisha
SPORTSXTRA SPACE 📍
USHIRIKI WA KLABU ZA TANZANIA KIMATAIFA, NINI CHACHU YA KUFIKA FAINALI AU KUBEBA KOMBE ?
Karibu ushiriki nasi kwenye Twitter space #CloudsMediaLive leo saa 1:00 usiku.
Host ni @jr_farhanjr @davidkampista

Usijiamini kupitia mke wako fika mwenyewe kwenye kituo cha afya ujue afya yako,,,waswahili wanasema kwamba Linda mtaji. @TIPOfficial__
#RafikinendakapimeHIV
#agpahi
#NuktaAfrica
#CloudsMediaLive
@nikkwapili
#Mustaarabu
#wizara_afyatz
#millardayo
#kigogo2014
#ummymwalimu

Usikate kimya unapoona ukatili unatokea Kwa watoto plaza sauti tujenge jamii yenye upendo furaha amani pia ufike kituo cha afya Kwa ajili ya kujua afya.@TIPOfficial__
#RafikiKapimeHIV
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
@Mustaarabu
#TaasisiyaUstawi
#CloudsMediaLive
#agpahi2012
#millardayo

Mara nyingi ukatili dhidi ya watoto wa kingono umekuwa ukifanywa na ndugu wa karibu,,,hivyo inapotokea unapaswa kutoa taaarifa.@TIPOfficial__
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
#Mustaarabu #agpahi2012
#TaasisiyaUstawi
#CloudsMediaLive
#masoudkipanya
#millardayo

Umuhimu wa PF3 .
Humsaidia mgonjwa kupata huduma
Hulinda haki za mhudumu wa mgonjwa.
Humsaidia mgonjwa kupata haki zake.
Husaidia katika utunzaji WA takwimu.@TIPOfficial__
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
#agpahi2012
@Mustaarabu
#TaasisiyaUstawi
#wizara_afyatz
#CloudsMediaLive
#Fact

Its good to have MONEY and the things that money can buy, as long as you make sure you don’t lose the things money can’t buy.
#AnithetTwati #millardayo #CloudsMediaLive #SilayoEdwin #CMsokinno #saimon_johnson

The greatest test of faith is when you don’t get what you want, but still you are able to say THANK YOU LORD.
#TruthsFromTheBible #Laltaika1 #LiftedFromTheSoil #CMsokinno #ADDBiblicalAnswers #millardayo #CloudsMediaLive #HKigwangalla #SilayoEdwin #edmnangagwa #saimon_johnson #VP
@CloudsMediaLive Poleni sana wanaCloudsMedia na watanzania wote na familia ya Ruge Mutahaba kwa huzuni ya kumpoteza mtu aliyekuwa muhimu katika tasnia ya Habari na pia katika familia
Tuenzi aliyotuachia kama Alama ya kumkumbuka daima
R. I. P. Ruge Mutahaba #CloudsMedialive
@masoudkipanya wanunuzi pia sio kwamba wanachezea MIZANI bali wanacheza na Mawe ya kupimia,kunakuwa na Mawe ya kawaida na Mawe ya Moto..(Mawe yaliyokwisha unguzwa kwenye moto yanapungua uzito) #CloudsMediaLive
@masoudkipanya Mahindi Gunia moja kwa sehem nyingi za Songea ni sh 18000 kwa sasa.#CloudsMediaLive #PB
ROMA LIVE kwenye #XXLCloudsRadioFM
Mahojiano ya kwanza baada ya kufungiwa kufanya sanaa kwa miezi sita #Roma ndani ya #XXLCloudsFm. #CloudsRadioFM #BDozen #MamyBabyTZ #AdamMchomvu #KenedyTheRemedy #CloudsMediaLive https://t.co/ZXKFn4tjb3
Get current news and what's trending in Tanzania today. #Clouds360 #CloudsTV #CloudsMediaLive #InakusubiriDunia #AlmasiProduction #CloudsFM https://t.co/fTGzFeFoWM
Thank you Mdee Sisters for the Sparkling Performance @VanessaMdee and @mimi_mvrs11 You're Gifted.
#TigoFiesta2017 #CloudsMediaLive #Bounce #Sitamani #HistoryHasBeenWritten
#CloudsMediaLive
Jiwe la mwezi Arusha stage ndo inatengenezwa ahsanteni kwa kuja huku

Mtu anapochukua Bunduki ni lazima angeitumia Tena kwa waandishi Wa Clouds-Mengi #CloudsMediaLive

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers














