Top Tweets for #joinTheChain
π THE CHAIN IS CALLING ππ₯
$PAPERCLIP β Building real connections.
One link at a time.
Join Paperclip Chain:
π Telegram: https://t.co/51A5AUjzCx
π¦ X: https://t.co/7nTtdEzrZc
π https://t.co/NHYFDWCePA
Whoβs ready to BIND IN? Drop π below.
#PAPERCLIP #JoinTheChain #SOL #Pumpfun #Crypto

New design web3 lotto on chin π₯·π»
https://t.co/VDjekLz5bl
Go Chack put screen shot you in the web you get 1,500 #BBTC
If you buy ticket you get 5,000 #BBTC
#JoinTheChain
#ActivateNow
#TryItNow
#ExploreOnChain
#GetInEarly
#EarlyAccess
#LiveOnChain

π¦ The green light is on. Buy. Stake. Run a node. Phase 2 is your entry to Web3 utility.
$MIRX #MiracleChain #JoinTheChain

π― Your next move: Buy. Stake. Run a node. Be part of Phase 2 before the rest catch up.
$MIRX #MiracleChain #JoinTheChain

Guuleed is smiling because someone like you believed. Your share became his pencil. Your heart became his hope. π HopeChain = change.
#JoinTheChain #ChildrensHope #Web3ForImpact #CryptoWithHeart
Ready to Be a Gamechanger?
The Arichain ecosystem is EXPLODING! Whether you're a #DEV, a #FOUNDER, or just deeply #CURIOUS, the time to jump in is NOW!
π Dive in to know more: https://t.co/vzCPzFx3FO
π Join the fam: https://t.co/2Befi0RHfk
#JoinTheChain #GMARI
@JamiiForums Tena huyu Kipara kama mkurugenzi wa mawasiliano alipaswa kutupa mrejesho wa #joinTheChain ulifikisha shingapi lakini badala yake alikua anatupiga kamba kila akiulizwa, apuuzwe
Give us your best RECOMMENDATION.
Chama cha SIASA kinaendeshwa kwa....
RUZUKUMICJANGO MBALI MBALI ya wapenda HAKI
Sasa tueleze wewe nini kifanyike @Kenyamonta2000 usilalamike nini kifanyike ?
Kumbuka @freemanmbowetz aliongoza #JointheChain na hukukosoa ile KAMPENI !!

Hamna kisingizio cha kutojiunga na @ChademaTz jisajili na ujipatie kadi yako ya daraja ulitakalo. Nitamshauri Mwenyekiti wetu wa CHADEMA taifa Mhe. @TunduALissu pamoja na katibu mkuu wetu @jjmnyika na naibu katibu @golugwa warudishe tena #JoinTheChain lakini ifanywe kwa uwazi.

@jjmnyika @clementmanang KM Mnyika umepoteza Sifa Wewe na wenzako hamna tofauti na Maccm, itabidi tufatilie vizuri kuhusu Hela za #JoinTheChain maana inaonekana nawewe ndo walewale tu Wapigaji, na Watoa Rushwa

Press Conference Kesho. Ukumbi mtajulishwa baadae leo , waandishi wa habari karibuni wote.
@jjmnyika @ChademaTz Katibu mkuu anakuja kutoa ufafanuzi leo baada ya kusikia Lema ataongea kuhusu kupindua chama kwa fedha za #jointhechain, unasema hujawahu kuulizwa kwani leo nani amekuuliza? Wakati siku zote ulikuwa kimya wakati watu wakihoji hatma ya hizi fedha?
@jjmnyika @ChademaTz WENJE AMESEMA #JoinTheChain zilikusanywa PESA na Lema, Lissu, Heche na Msigwa kwa ajili ya kumpindua Mbowe akiwa Gerezani.
Kwasababu kuna idadi kubwa ya wananchi waliomsikiliza na wengine watamwamini ikizingatiwa chama kimempitisha kugombea nafasi ya uongozi.
MNAMFANYAJE WENJE?
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ametolea ufafuzi kuhusu madai yalitolewa na Ezekiah Wenje kuhusu matumizi ya pesa za kapeni ya 'Join the Chain'
"#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi." Amendika Mnyika

Hii ni silaha ya kwanza.
Bado Lema hajaongea kwenye press kesho.
Hapa ndio wanachama kina @YerickoNyerereT @Ntobi_ na wengine wengi wajiangalie. Maneno kusema #JoinTheChain ililetwa na Mhe LISSU ili kupindua Mbowe ni upumbavu wa kiwango cha Degree 15.
Jitafakari upande uliopo.
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Hongera sana kwako kwa kutoa ufafanuzi huu. Utakaofanya na wengine watulie kuja kujibu mambo kwa kina na pengine wataharibu zaidi.
Lkn Mh @jjmnyika kama mwanachama kaongea uongo kuwa #jointhechain ilikuwa na lengo ovu kwa mwenyekiti kwann asichukuliwe hatua za kinidhamu?
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
@jjmnyika @ChademaTz Mhe. Sisi mpaka leo mchana tulikuwa tunajua Pesa iliyokusanywa kwenye Kampeni ya #JoinTheChain mliitumia kwenye harakafi za Kumpindua FAM, hata hela alizokuwa anakusanya FAM za #JoinTheChain nayeye alikupa wewe uwape akina Lema, Msigwa na TAL ili wampindue.
#HABARI Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu sintofahamu zinazoendelea juu ya kampeni ya #JoinTheChain iliyofanyika kati ya Februari na Mei 2022. Kampeni hiyo ilikusudia kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia shughuli za chama, hususan Mkutano wa Baraza Kuu la Mei 2022 na operesheni za kudai Katiba Mpya.
Mnyika amesema kuwa kampeni hiyo ilikusanya jumla ya shilingi milioni 371, ambapo shilingi milioni 114 zilipokelewa moja kwa moja kupitia akaunti ya benki na nambari za simu. Fedha hizo zilitumika kugharamia sehemu ya shughuli za Baraza Kuu, ambalo pia lilisikiliza rufaa za wanachama waliokuwa wamefukuzwa maarufu kama #Wasaliti19.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz John Mnyika @jjmnyika amemjibu Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje @EzekiaWenje juu ya fedha za 'join the chain' kwa kuandika haya.
" #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025 "

#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers