Top Tweets for #masterj
Hizi sasa ndio zile live alizokuwa anazungumzia legend wa muziki wa Tanzania #MasterJ
#5SELEKT @modoo_255 @blessing_teba @zeydanthabit
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Producer @bobmanecky ametoa maoni yake kwenye haya yanayoendelea kwasasa kati ya #Alikiba na #MasterJ
@tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami
#FridayNightLive #FNL
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Producer @bobmanecky ametoa maoni yake kwenye haya yanayoendelea kwasasa kati ya #Alikiba na #MasterJ
@tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami
#FridayNightLive #FNL
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msimamo wa @masterjtz baada ya kumuomba msamaha @officialalikiba kupitia #OFFAIR ya #PlanetBongo hapa #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo #MasterJ #Alikiba
Producer @masterjtz anasikika sayarini #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio juu ya majibu ambayo ameyatoa #Alikiba baada ya kurushiana maneno mitandaoni.
#PlanetBongo #MasterJ #Alikiba
@saluh_tz Ameweka wazi kuwa hajajua ni nini haswa Legend producer #MasterJ alimaanisha nini haswa
#5SELEKT @blessing_teba
@smirnofftz #WeDoWe #noknownaddress
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Msimamo wa rapa @NiiteSonga anasema msanii anayekosea kufanya Live show dawa yake ni kuwashiwa moto kama njia ya kuwekana sawa na kuambiana ukweli.
#PlanetBongo #OFFAIR #Songa #Alikiba #MasterJ
Rapa wa Singapore @NiiteSonga anashea comment yake kilichotokea kwa Producer #MasterJ na #Alikiba mitandaoni.
#PlanetBongo #OFFAIR #Songa #Alikiba #MasterJ
Unju #NikkiMbishi akiongelea kuhusu mastaa wakubwa wa muziki kukubali kupokea 'Negative' comment zinazotolewa na wadau wa muziki au mashabiki.
#PlanetBongo #OFFAIR #NikkiMbishi #Alikiba #MasterJ
"ALIKIBA amemjibu Master J kwa lugha ngumu" - Anasema #NikkiMbishi sakata la @OfficialAliKiba na Producer @masterjtz
#PlanetBongo #OFFAIR #Alikiba #MasterJ #NikkiMbishi
OFFAIR ya #PlanetBongo imeanza na sakata la Producer @masterjtz na mwanamuziki @OfficialAliKiba kutupiana maneno mitandaoni.
#PlanetBongo #OFFAIR #Alikiba #MasterJ
#ETrending @mwijaku Amefunguka sakata la @masterjtz na Staa wa Muziki @officialalikiba na kusema kuwa #MasterJ amekuwa na Tabia ya kumsema vibaya #Alikiba huku akidai kuwa aliwahi kuomba Kazi #CrownMedia
.
HII INTERVIEW KWA UREFU IPO KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA RICK MEDIA.
.
Cc: @silent_ocean_ltd @weblinecomputer @jizosound
.
written by @LankaTing
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
#BURUDANI Mex TZ anasema #PetitmanWakuache akisikiliza nyimbo zake basi ataacha kumsimamia #YoungLunya na kuanza kumsimamia yeye kama Meneja.
#PlanetBongo #MexTZ #YoungLunya #MasterJ #FidQ #HipHop
#BURUDANI Majibu ya rapa Mex TZ akimzungumzia @younglunya kupitia #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo #MexTZ #YoungLunya #MasterJ #FidQ #HipHop
#BURUDANI Msanii wa HipHop Mex Cortez amenyoosha maelezo kuhusu Wakongwe wa muziki @masterjtz na @fidq kuukubali uwezo wake kimuziki.
#PlanetBongo #MasterJ #FidQ #HipHop
#BURUDANI Mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini @masterjtz akichambua lugha ya Kiingereza aliyoitumia #Harmonize kupitia ngoma yake mpya ya 'I made it' ft #BienSol na #BobbyShmurda
#PlanetBongo #Muziki #BongoFleva #MasterJ #MJRecords #PFunkMajani @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI Hii inawezekana vipi? @masterjtz anasema zamani alikuwa hampendi na kumchukia mama yake mzazi na sasa hivi ndio ameanza kuwa mtu wake wa karibu.
#PlanetBongo #Muziki #BongoFleva #MasterJ #MJRecords #PFunkMajani @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI @masterjtz anasema hawezi kuwa na uadui na P Funk Majani, kupitia #PlanetBongo anafunguka sababu iliyofanya watu kuhisi ana bifu na Producer #PFunkMajani.
#PlanetBongo #Muziki #BongoFleva #MasterJ #MJRecords #PFunkMajani @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI βWasanii wetu wanajua kujibrand na kufanya marketing kwenye social media kuliko Wakenya, wale bado washamba washamba hata wanavyovaa. Biashara ya muziki lazima uitumie social mediaβ - @masterjtz
#PlanetBongo #Muziki #BongoFleva #MasterJ #MJRecords #Trending #International #Tanzania #Kenya βοΈ @shneida_infos

Last Seen Hashtags on Sotwe
momson((()))*+filter:native_video
Seen from Algeria
boΕanmΔ±Ε
Seen from Germany
ε±±ζ¬εεε
Seen from Japan
BTC
Seen from Korea
novinha fudendo
Seen from Brazil
cum drinking
Seen from Korea
Teenage video.
Seen from Germany
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈΰΈ£ΰΈΰΈΰΈ‘
Seen from Thailand
ζδΊΊεγAI
Seen from Korea
Secret Affair
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



