Top Tweets for #noreforms
@advocatemahere @wicknellchivayo Hanzi Wicknel mungwarireyi wakaba pakuru pa Zim apa now akutambira kuno.
Zim Treasury paid R1.1bn to SA’s Ren-Form for election gear, no tender. Prices inflated (R90k server billed R23m!). Over R800m funneled to Wicknell Chivayo’s firms, splashed on cars & luxuries. #NoReforms
Jambo moja nina uhakika nalo. Usipojifunza mambo mapya ni vigumu sana kupata reforms za maana kwenye maisha yako. Hakuna badiliko kubwa kitabia linakuja kirahisi. NO LEARNING® NO REFOMS.
Hapa nimetoka kupokea mzigo mpya kwa ajili ya darasa la mwezi Oktoba. Nakuhakikishia OKTOBA TUNATIKI vyote hivi. Tukishatiki kama hivi, tukiingia Novemba Reforms uhakika.
Oktoba ikianza tu naanza kutiki hiki cha ATTACHED nione kama kuna reforms za kimtazamo nitaziona kwenye adult attachment. Nimesoma na kufundisha sana attachment theory. Safari hii hakuna kuibiwa NOTES. TUTAZILINDA tuone matokeo.


@HopeQuotes__ @RahmaSalum255 Mlianza na Hashtag ya #NoReforms #NoElection baadae ya kuona ni kauli Mbiu ya kiduanzi ambayo haina Msaaada wowote na Wananchi hawaitaki, sasahivi mmehamia Kwenye #kataaMatapeli aisee Chadema Mmekosa Muelekeo KUMANYOKO ZENU 🚮🚮😂
Kama mambo yatabaki hivi Bunge lijalo litakuwa la Mama Mkwe,Mama & mwana, Baba na watoto,ndugu wa karibu,shangazi,binamu & wajomb
Tusahau nchi ya Ndugu Jamaa na Marafiki. @MariaSTsehai @TitoMagoti @Oleshangay @HildaNewton21
Sheria zitakazotungwa ni kulinda familia zao
#Noreforms
@MariaSTsehai @ChademaTZ2 @TunduALissu @HecheJohn @jjmnyika Sie tukishindwa kuzuia wao si watakuwa wameweza kutushinda sasa waendele na plan yao na sie tuendelee na yetu.
#NoReforms
#NoElection
#TutaelewanaTu
ACT na CHAUMMA watatumika sana kunogesha uchaguzi ili uonekane umefana. Huu ni mwanzo, tutaona na kusikia vitimbi vingi. Ni vita dhidi ya No Reforms No Election. Ni 'kazi maalum' ya kuhalalisha UCHAFUZI wa CCM.
Hawa tuwaache na mambo yao.
#NoReforms

Kwamba @ccm_tanzania October 25 Mnaenda Kubatle na Chauma na Zambarau ambayo ni Matawi yenu hayo nimatumiz Mabaya ya Fedha za Umma.
Fanyeni Mabadiriko kwenye Tume ya Uchaguzi Wote Tuingie Uwanjani. Sisi WanaNchi Tuenjoy Vita ya Kwenye Majukwaa Kisha sisi Tuchague
#NoReforms???
@KKagasheki Tusaudie kwa hadhi na nafasi uliyonayo kuongea na watawala tusifuke huko vinginevyo, Tutafikia mahala tutaona ni " kuru nafsi dhaikatur maut hapo itakuwa zamu yetu kuchekesha jumuiya zingine.
#NoReforms
#NoElection

@SharonMontana20 Kwahiyo huyo demu kazi kula mademu wenzake eeeeh
Basi amejulikana
Kama Martha alivyojitetea huyu nae atajitetea kwa lipi?
Anyway
#NoReforms

@TZMsemajiMkuu 😅😅😅😅😅 Upepo mkali unavuma kutoka #NoReforms kwenda #NoElection kwa kasi ya 100kph kuelekea Octoba 2025
Last Seen Hashtags on Sotwe
FKKU
Seen from United States
TahirAbacı
Seen from Brazil
adameveotel
Seen from Turkey
teenagergirls
Seen from Brazil
madura
Seen from Indonesia
brozone
Seen from Argentina
coli #crot
Seen from Indonesia
自作パーツを使っているのでパワーアップも可能です
Seen from United States
习近平
Seen from Netherlands
devesful
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.5M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.7M followers



















