Top Tweets for #riphanspope
Jukwaa lilikubali, Vibe la kutosha, mzuka mpaka unamwagika
Bahati mbaya matokeo yakawa katili
Kama tungepata ushindi basi Dunia ingejua nguvu yetu ya ushangiliaji
Any way hatujakaa tamaa tutaendelea kutengeza makundi ya ushangiliaji na aina ya ushangiliaji



Uongozi wa Ruvu shooting🔥 umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha kiongozi wa Simba Sc, ndugu, Zacharia Hans Pope.
Tunatoa pole kwa timu ya Simba Sc, familia, mashabiki, ndugu, jamaa na wanamichezo wote walioguswa na msiba huu.
#RIPHansPope

@yangasc1935 Ujumbe wenu umekuwa faraja katikati ya uzuni ya wanasimba. This is a truly sportsmanship. #RIPHansPope
Rais wa TFF, Wallence Karia ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi na Wachezaji, Zakaria Hanspope kilichotokea jana usiku Ijumaa.#RIPHansPope @NjombeTv

🔴TANZIA:
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa @SimbaSCTanzania, Zacharia HansPope amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Agha Khan akipatiwa matibabu.
#RIPHansPope #NguvuMoja

🔴TANZIA:
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa @SimbaSCTanzania, Zacharia HansPope amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Agha Khan akipatiwa matibabu.
#RIPHansPope #NguvuMoja

#Taarifabilamipaka
TANZIA: Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya @SimbaSCTanzania, Zacharia Hans Pope amefariki dunia Usiku huu.
Klabu ya Simba SC imethibitisha kutokea kwa msiba huo.
#RIPHansPope

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa
#RipHanspope
#KitengeUpdates

#Repost from @simbasctanzania
Uongozi wa Klabu ya Simba umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Zacharia HansPope ambaye amefariki dunia usiku huu.
Taarifa zaidi zitawajia kupitia kurasa zetu. #RIPHansPope #NguvuMoja

RIP Zakaria Hans Pope. Moja kati ya watu waliokuwa na CV kubwa sana nchini lakini mwenye haiba ya upole na ukimya sana. Nilikua naikubali sana jinsi alivyoweza ku-maintain personality yake. What a man he was..🙏
#RIPHansPope
#TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa @SimbaSCTanzania, Zacharia HansPope amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Agha Khan akipatiwa matibabu.
#RIPHansPope #NguvuMoja
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari

Uongozi wa Klabu ya Simba umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Zacharia HansPope ambaye amefariki dunia usiku huu.
Taarifa zaidi zitawajia kupitia kurasa zetu. #RIPHansPope #NguvuMoja

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Zakaria Hans Pope amefariki Dunia usiki huu Jijini Dar es Salaam.
Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
#RIPHansPope💔
#BoiplusUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



















