Top Tweets for #samehe
Usamehevu ni tabia ya waja wema.
#Samehe

Mathayo 6:14-15
14. Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi.
15. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
#Samehe 7ร70
Usiupe moyo wako mzigo wa visasi, #samehe halafu sahau!
Moyo wenye amani na utulivu ni ule usameheao na kusahau!
Usiwaombee maumivu licha ya kwamba ni kweli wamekuumiza sana ila waombee uponyaji maana wana vidonda moyoni kwa ubaya waliokutenda.
#samehe usamehewe.
Thamini wale wanaokupenda, wasaidie wanaokuhitaji, wasamehe waliokuumiza na uwasahau waliokuacha.
Katika sababu ambazo zinazo tufanya tusisamehe wengine, ni kwa sababu hatuzioni kasoro zetu. Twaishi kwa kuona kasoro na mabaya ya wenzetu, ila si yale tunayo wafanyia. Tusamehe! Kwani nasi twahitaji kusamehewa.
#Samehe

'Samehe' by @peacekingdavid alongside @NkoneUpendo from Tanzania is out. Go on her Youtube page, subscribe and be blessed
#Samehe
#TraceGospel
#WeAreGospelMusic
@musimbi_emily @solomonmkubwa Kweli kusamehe ndilo jambo la kusonga mbele #Samehe #Barakazamilele @EvahMwalili
๐Tunapowasamehe waliotukosea
Haimanishi kujishusha kwao, bali kwa afya ya mwili na akili samehe
#samehe....
Jifunze kuwa na mawazo sahihi kichwani mwako na siku zote utakuwa huru, utakuwa mtu wa kusamehe kirahisi na mwenye furaha.
@MaznatBridal
#RIPMamba #GameChangertv #life #samehe #furaha
Hakuna ubinafsi mzuri kama kusamehe. Maana kusamehe kunakufungua minyororo na kukuweka wewe huru kwanza, kisha unawaweka huru na wale waliokukosea. Ni kama kununua kimoja na kupata cha pili bure. Ni kama kombolela unabutua unajiokoa wewe na wengine pia. Samehe. Inalipa.
Biblia inafundisha kwamba upendo usio na ubinafsi ndio msingi wa msamaha wa kweli, kwa kuwa upendo, โhauweki hesabu ya ubaya.
#Samehe
#samehe adui zako lakini usisahau majina yao

Last Seen Hashtags on Sotwe
runforrhinos
Seen from United States
KyokaNijiku
minichat
Seen from United States
FEMDOM
Seen from Germany
minichat(******************************************************)filter:native_video
Seen from Germany
SaaliKeSideEffects
Seen from United States
tmnt2012
Seen from Netherlands
orianistas
Seen from Italy
laurenlangley
Seen from United States
ocdonutsteal
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




















