Top Tweets for #uonevu
@BusesDaily #kilimanjaro hahahahahah iyo nakataaaa miaka buku jana nimekata tkt vip,nineambiwa 55k nikalipa #latra kwani abiria analazimishwa kupanda izo gari au mbona juzi kati kosta nauli 60k na hamkuchukua sheria #uonevu #kilimanjaro daima afu wafanyakazi wale nini mkishafungiwa #bla bla
KWa Rehema zake Mungu,Naendelea kuwasihi polisi hasa wanaohusika na #uonevu huu WAACHE MARA MOJA, hakika HAMTOWEZA kijitenga na uovu huu ambao mnaendelea kuupanda, nyie ni watumishi wa MUDA tu,, acheni kuonea watu wasiyo na hatia.mwenye sikio na ASIKIE!!
#FreeMdude
#FreeMwabusi
🚨 #Tanzania
#FreeMdude #FreeMwabukusi
Wazalendo huwa wanapitia mengi na kesi ya uchochezi, uhaini, ugaidi huwa kawaida kwa madikteta
Muhimu ni kutotishika ✊🏽
The two detained patriots are on hunger strike
Cc @AmnestyEARO @hrw @UNHumanRights @StateDRL

@kigogo2014 alikuwa anajiita #mwanaharakati kipindi cha @MagufuliJP Iakini leo #amegeuka na kuanza kuwasema #wapinzani wa @ccm_tanzania na uongozi wote..
=AMEKUWA MTU WA KUSHANGILIA #UDHALIMU NA #UONEVU
=AMEKUWA #CHAWA ANAEISHI KWA KUFUATA UPEPO TU HANA MSIMAMO
=AMEKUWA #TAKATAKA HATARISHI

@IAMartin_ Shangazi atakuwa anatumika kutoa watu kwenye reli kwenye mambo muhimu kama #Uonevu dhidi ya wamasai na mambo ya bajeti n.k
@MagufuliJP alimtengua Mkurugenzi wa #MSD na kumpa kesi ya Uhujumu uchumi, akamweka Mwanajeshi kuzuia ubadhirifu kumbe shida ni mfumo na alimuonea aliyempa kesi alipoenda pa kwenda kesi ikafutwa. #Uonevu haufai.
#KatibaMpyaNiSasa
#KatibaMpya
#WenyeNchiWananchi
Rais Samia afanya uteuzi MSD https://t.co/EA5Rp3QTFp
Yani mnamkamata mtu mnamsingizia kesi mnamuweka mahabusu kwa sku zaid ya 300 then mnaamua kufuta kesi.. #Uonevu
Katika yote wafanyayo @ccm_tanzania wanategemea sana #dhuluma inayozaa #hujuma, #uonevu na #unyanyasaji. Wanajua #KatibaMpya itawakomesha wanaikataa.
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#KatibaMpyaMovement
#TunatakaKatibaMpya
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChangeTanzania

Leo ni siku ya pili tunashiriki katika mafunzo ya #Uonevu wa mtandaoni kwa watoto na wasichana chini ya @humanrightstz na @dexterousbabys1
Hivi umeshawahi mueleza mtoto wako athari za kupiga picha za utupu katika simu janja?
Digitali ni nzuri kama itatumika kwa usahihi.

Which #Africa is this #Docile #Stupid knows nothing until a guy called the same name as a city shows up to #Plant #uonevu #discrimination #afeism #tribalism #regionalism #novotenomaendeleopolitics
Habari Tanzania: BE AWARE, Robert Amsterdam is a Canadian Set to Plant Violence in African Countries. https://t.co/smSCoRSgwx

Zama hizi rekodi hutunzwa na kuwekwa sawasawa. Hakuna tena kuunguza nyaraka za ofisi kupoteza kumbukumbu. #UONEVU,#DHULMA na #UNYANYASAJI wa @ccm_tanzania siku ya hukumu hakutakuwa na shida ya ushahidi. Ushahidi upo wazi bayana
#TuungeMkonoJuhudi
#JuhudiZaHovyo
#Tutawajibishwa

Ukiendelea kuichagua au kuishabikia @ccm_tanzania jua wazi unachagua na kushabikia #dhulma, #uonevu, #utekaji, #ubaguzi, #unyanyasaji , #uporwajihaki , #vitisho , #shurti na #ujambazi mwingine
#SayNoToCCM #VoteCCMOut
◾Askari magereza alimpiga @HenryKilewo rungu la kichwa akampasua
Sasa, unaanzaje #KuungaMkonoJuhudi? Hizi? Za #Dhulma, #Uonevu na #Ukandamizaji wa #HakiZaBinadamu
@hrw @amnesty @UNDPPA @_AfricanUnion @UN @StateDRL
#KatibaMpya
#TumeHuruYaUchaguzi

◾@halimamdee amevunjwa mkono wa kulia
◾@esteramosbulaya ameumizwa mgongo na kifua
◾@JescaKishoa bado ana maumivu makali mwilini
Je, huu ndio Utawala wa #KuungaMkonoJuhudi? Hizi? Za #Dhulma, #Uonevu na #Ukandamizaji?
#KatibaMpya
#TumeHuruYaUchaguzi

#UtamaduniWetu
◾Mbunge wa viti Maluum @ChademaTz @JescaKishoa kazuiliwa na Jeshi la Polisi kutoa msaada wa vifaa shuleni
◾Mwalimu Mkuu ameagizwa na Afisa Elimu vifaa hivyo visipokelewe
#TuungeMkonoJuhudi hizi za #uonevu na #ubaguzi?
#KatibaMpya
#TumeHuruYaUchaguzi

#UtamaduniWetu
◾Nchi yetu ni huru hatuishi utumwani. Kwanini watu/Viongozi wanakatazwa kusafiri mpaka ruhusa ya Rais? Hii si sawa ni ukiukwaji mkubwa wa haki binafsi za raia. Ni #Uonevu, ni #Udhalilishaji, ni #Ukandamizaji.
◾Pole sana @MayorUbungo
#TunahitajiMabadiliko

Kwa #Unyama, #Dhuluma, #Uonevu, #Unyanyasaji, #Kutekana, #KuuliwaWananchiVituoVyaPolisi, #KutupwaWatuKwenyeViroba, #VisaVyaWasioJulikana na #Udhalimu_Wa_Awamu_Ya_Tano
◾@ccm_tanzania mnafikiri mpo salama sana. Mbegu mliyopanda imeshaanza kuota. Mjiandae kuvuna
Last Seen Hashtags on Sotwe
momson
Seen from United States
snapchat(***)****** filter:videos
whyprotectdeposit
Seen from United States
snapchat
Seen from Norway
governmentoflies
Seen from United States
dadsleep
Seen from United States
nudes dance
BRALLAN
Seen from United States
minichat() +filter:native_video
Seen from United Kingdom
pyt
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





















