Top Tweets for #ushoga
Aa kumbe ulikunywa gongo kidogo 🤣
Kwahiyo sasa umekubali kwamba "uumbaji " ni rububiyya za Allah na sio ktk "asmaa wa sifaat"..kwanz tuliza mshono hapo🫡 kula break baada ya kukopi na kupaste kitu usichokijua ukaandika utumbo
Then; tunakuja kukunyambulia
Je, #ushoga ni #ushirikina na ni kinyume na #tawheed⁉️🤣
_habu tumfunze huyu mkia wa #shia dini na kama hutaelewa utaendelea na ubishi itabidi tukupumzishe kwa mda usilete talbis kwa watu
Kwanza kabla hujavamia hizi mada bora hata ungejua maana ya hizi teminology kidogo
JUA KWANZA KWAMBA UKISEMA KITU FLANI NI KINYUME NA TAWHEED MAANA YAKE NI "USHIRIKINA" NA INAKUA NI "UKAFIRI"
_kwa maana anayefanya vitu kinyume na #tawheed ni "mshirikina" na ataingia kwenye hukmu ya kuitwa ni #KAFIRI_kwahiyo kua makini unapotaja hili neno la kisheria
A)_Nini #ushoga/qaumu lutw_
🫴_ ushoga ni kitendo cha mwanaume kumuingilia mwanaume mwenzake
_Hii ndio maana ya ushoga kisheria na kidecular
_kwahiyo kwa tafsiri hii hatujaona mtu kabadilisha maumbile__kwa maana kwamba alikua mwanaume kisha kabadili jinsi kawa mwanamke
_kwa maana mtu akibadili maumbile yake haina maana kwamba lazima awe shoga au awe anaingiliwa kinyume na maumbile mpaka afanye ndio tutasema kafanya "ushoga"
_kwahiyo mtu akiwa transgender haiambiwi ni "shoga" kwakua tafsiri ya "ushoga" au "kaulu lutw" sio kubadili maumbile bali ni kile kitendo cha "kuingiliwa kinyume na maumbile"
B)_TAWHEED_maana yake kilugha ni (kukifanya kitu kuwa kimoja)_au kujaalia kitu kiwe kimoja pekee
Kisheria; kumpwekesha Allah ktk ibada na kuacha kuwaabudu wengine wasiokua Allah
JE, TAWHEED KINYUME CHAKE NI NINI⁉️
NI = "USHIRIKINA"
C)_USHIRIKINA AU SHIRK
Kilugha_kuchangaya vitu vikawa vingi mahali pamoja kwa ajili ya jambo flani
🫴_kumjaalia Allah washirika wenye kushirikiana nae ktk Ibada zake
Au
Kumsawazisha Allah na wasiokua yeye ktk mambo yanayomhusu yeye Allah pekee
JE, NI IPI MIFANO YA IBADA ANAZOTAKIWA AFANYIWE ALLAH EKE? AMBAYO NI YA KITAWHEED YA KIITIKADI
🫴_mfano; dua,kuchinja wanyama,kuomba ulinzi,kuomba kuokoewa,kuomba msaada,kutegemea,khofu,kutaraji,kuweka nadhiri, nk
JE, NI YAPI MAMBO YA KISHIRIKINA YENYE KUPINGANA NA ITIKADI AU TAWHEED ⁉️
_ni unageuza tu hayo yaliotajwa juu hapo kichwa chini miguu juu
🫴_Mfano;
_kumuomba asiekua Allah(dua za masala na za ibada)
_kumchinjia asiekua Alllah
_kumuomba ulinzi kwa asiekua Allah
_kuomba uokozi kutoa kwa asiekua Allah
_kuomba msaada kwa asiekua Allah
_kumtegemea asiekua Allah
_kumkhofu asiekua Allah khofu ya kiibada
_kuweka nadhiri kwa ajilli ya asiekua Allah
_kuweka matarajio kwa asiekua Allah
_kuweka wakati kati baina yako na Allah
N.k
🫴_Hayo ndio yanayoitwa "VITENGUZI VYA TAWHEED" VYA UISLAMU WA MTU
sasa je," #USHOGA" unaingieje kwenye kumshirikisha Allah kwenye ibada zake⁉️🤣
🫴_maana ili dhambi flani ihesabiwe ni USHIRIKINA NA IWE NI KINYUME NA TAWHEED SHARTI KUPATIKANE
1_kushirikishwa au kuabudiwa kwa asiekua Allah kwenye dhambi hiyo
🫴_Sasa kwani shoga akiwa muislamh anamwabudu nani⁉️
🫴_je, anafanya ibada ipi iliokua inapaswa afanyiwe Allah yeye akaieleka kwa mwengine asiekua Allah⁉️
Je, kwani ushoga ni ibada⁉️
Na kama ni ibada kwani kamfanyia nani ibada hiyo ya ushoga badala kumfanyia Allah ili iwe kafanya #ushirikina na awe katengua tawheed ⁉️
JE, NI USHIRIKIKA GANI UMEFANYIKA NDANI YA DHAMBO YA USHOGA⁉️😫😫
MAANA KAMA UKISEMA "KUBADILI MAUMBILE NI KUFRU AU SHIRK".
🫴_ ina maana sio matransgender tu ndio wataingia humo bali wako wengi utawakufurisha
_Kuna wanaochonga meno
_wanaonyoa nyusi au kope za macho
_kuna wanaonyoa ndevu ktk wanaume
_kuna wanaobadilisha nywele n.k
🫴_JE hao wote ni utawaita #makafiri?
HIVYO USIE MROPOKAJI WE MKIA WA SHIA SOMA DINI KWANZA 🤣
MWISHO:
JE, NI NANI ALIYEKUTANGULIA KABLA YAKO KUSEMA KWAMBA "USHOGA" NI DHAMBI YA USHIRIKINA AU NI KINYUME NA TAWHWED⁉️
tupe kauli ya Allah,mtume,maswahaba,tabeena,tabe tabeena,maimamu na wanachuoni wote wa kiislam 🫴🫴
HATA WA KISHIA LETE 🤣
Kasome acha kukaa mitandaoni
🫴 #ushirikina ndio dhambi kubwa kuliko zote duniani,mwenye kufanya anakufuru moja kwa moja na mwenye kufa nayo ni motoni milele
#Ushoga,,ni madhambi makubwa ila yako chini ya ushirikina..mfanyaji hakufuru na akifa na tawheed basi ima Alllah amsamehe au amuadhibu ila haendi motomi milele
BIDAA NI MBAYA KULIKO #USHOGA 📚💦
>>sheikh wa kisufy anasema:
"NAAPA KWA ALLAH , LAU MTUME NDIO ANGETUAMBIA ACHENI KUSHEREKEA MAULIDI, SISI TUNGEMKHALIFU KWAKUA ANAJITENGA NA HAKI...TUSINGEMZISIKILIZA BALI TUNGEYAFANYA NA TUNGEKHALIFU DALILI "
🫴Anaapia kabisa kwa jina la Allah kwamba SISI TUNGEMKHALIFU MTUME NA DALILI😱
IMAMU SHAFEE ANAONA #BIDAA NI #MBAYA ZAIDI KULIKO MADHAMBI #MAKUBWA(uzinzi,kuua,kula riba,kamari n.k) KASORO SHIRK
قال الإمام الشافعي رحمه الله:
«لَأَنْ أَلْقَى اللهَ بِكُلِّ ذَنْبٍ سِوَى الشِّرْكِ، أَحَبُّ إِلَيَّ مِنْ أَنْ أَلْقَاهُ بِشَيْءٍ مِنَ الْأَهْوَاءِ».
📚 أخرجه البيهقي في مناقب الشافعي (ج 2 / ص 207)، وذكره ابن أبي حاتم الرازي في مناقب الشافعي.
Manaaqib ash-Shafi‘i vya al-Bayhaqiy na vya Ibn Abī Ḥātim ar-Rāziy.
🔹 Imam ash-Shāfi‘ī رحمه الله amesema kwa maana:
“Kukutana na Allah na kila #dhambi isiyokuwa shirki ni bora zaidi kuliko kukutana Naye ukiwa na kitu ktk uzushi( ni mzushi (mubtadi‘).”
📚 Kauli hii imetajwa na al-Bayhaqī katika Manaaqib ash-Shāfi‘ī na vilevile Ibn Abī Ḥātim ar-Rāziy katika Manaaqib ash-Shāfi‘ī.
🫴MTU ANAKATAZWA DHAMBI YA #BIDAA ANASEMA WAZI KWAMBA ;
"SISI TUTAFANYA KAMA KAWAIDA "👀
🔹️HIKI NI KIBRI NA ALLAH HASAMEHE DHAMBI ZA MWENYE KIBRI
قال النبي ﷺ:
> «كُلُّ أُمَّتِي مُعَافًى إِلَّا الْمُجَاهِرِينَ...."
Mtume ﷺ amesema:
“Wote katika umma wangu wamesamehewa isipokuwa wale wanaodhihirisha madhambi yao.
🔹️NI KWELI MASUFY WAO SIKU ZOTE WANAFANYA MAKSUDI KUKHALIFU DALILI KWAKUA NDIO NJI YAO WAMECHAGUA HIVYO
🫴wala usifikiri wanachokatazwa hawajui kama ni makosa...wanajua lakini wamedhamiria kukhalifu QURAAN NA SUNNA
NA NDIO MAANA USHIRIKINA WANAOUFANYA WA KUABUDU WAFU NA MAKABURI...HATA UWAPE AYA NGAPI ZA QURAAN HAWATAACHA 🖐
SISI NA NYIE MASUFY NI MBINGU NA ARDHI
@BinKombo3 @BlackWolfBeast @khilafah8 @Matallahkhamis @Rahim_Meghji @IsaRouhan13797 @HabiibYahyaa @MovingOto
@abulhusayn01 @AbuuNyungu @AbuuSumayyah10 @ABUWSUHAYLAH @HashimuMok23111 @husseinabui @iam_rajabu @IbnMahmoud8 @IbrahimNgonyan
#USHOGA UMEKITHIRI BAINA YA VYOO VYA JAMAIII📚💦
>> ukiwatizama utawadhani ni wanaume wa kuigwa kumbe sio rizk
#Muslim brotherhood(ikhawanil mufliseen hawajali dini wala damu za Waislamu.📚💦
Wamechukua misimamo ya kilimwengu, ukomunisti na usufi, na hivyo wamekuwa kiumbe cha kiovu cha kishetani kinachobomoa Uislamu.
Huyu hapa ni #kiongozi wa kundi la #Ikhwan anayehalalisha #ushoga, anapigia debe uhuru holela, na kujipendekeza kwa Wamagharibi ili awaridhishe, huku akitabasamu kidogo...!
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @BlackWolfBeast @jtalb8 @Rahim_Meghji @khilafah8 @Matallahkhamis
Rais Wa Korea Kaskazini #KimJongUn Anashangaa kwa Masikitiko Makubwa Namna ambavyo Wazungu Waliwashawishi Wa Africa Kwamba Kuoa Mwanamke Zaidi Ya Mmoja Ni dhambi lakini Suala la #USHOGA #USAGAJI Ni Haki Za binadam.
Nchini kwake Suala la Ushoga Adhabu Yake Ni Kifo.
#WatchAfrica.

🔴VIPAOMBELE VYA CHADEMA @ChademaTz KATIKA UCHAGUZI MKUU 2025
•LGBTQ+( Kuendelea kusupport #ushoga na kuwawekea mazingira ya ulinzi nchini)
•UDINI ( kuhakikisha hakuna mtu wa #dini tofauti na yake anaongoza chama)
•UKABILA (Jiongezeni)
•UKANDA ( #Jiongezeni)

Watanganyika hatuki #USHOGA na asijaribu kuleta hii TABIA kabisa.
Naamin anaelewa misingi yetu🇹🇿
#kataaUshoga
#MAANDAMANO yaendelee 24/01/2024
Tukutane ROAD💪

Umepatikana na #ushoga , jaama yako @AbroadTanzania akipostigi uongo wake kuhusu #palestina huulizagi vyanzo vya habar
Leo unaulizia kwakua mmepatikana na #ushoga
HUU NDIO ULE UNAFIKIA WA NDAANI KABISA
@siadevinci Vichwa vya habari vya BBC VINAWATESA SANA🤣🤣.
HAYA EBU LETE CHANZO RASMI CHA TAARIFA YAKO
@nyuki_malkia Hii ndo #sodoma. sasa tuwe makini maana nishaanza kuziona dariri zote. Kama manabii wa uongo tayali #MWAMPOSA , na wenzake. Aya mapenzi ya jinsia moja[#USHOGA] naona nayo yanakuja kwa nguvu kubwa. mapenzi hadharani nadhani wenyewe mumeona ay bado nini sasa?
Watanzania wengi kupitia katika mitandao ya Kijamii wameonesha kukerwa na kauli za Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu dhidi ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa leo katika mkutano huko Bukoba Mjini Mkoani Kagera wakisema kuwa amekosa utu, Nidhamu na shukrani kwa Rais Samia licha ya mambo makubwa aliyomfanyia.
Lissu akiwa katika mkutano wa Chadema leo amemtuhumu Rais Samia kuuza Bandari ya Dar es Salaam na kudai kuwa Rais mwingine yeyote asingeweza kufanya hivyo hata Rais Hayati Magufuli licha ya ubaya wote aliyomtendea lakini asingeweza kuuza Bandari.
#KitengeUpdates

Ubalozi wa Marekani Umeifungia VISA Ya Spika Wa Bunge Nchini Uganga. Hii imetokea baada ya Bunge hilo kupitisha sheria Kali za Kupinga #USHOGA Nchini humo ambapo leo Mseveni alisaini Mswaada huo.
Ushauri kwa Africa.
Tutafute vyetu
Tuimarishe Uchumi
Tusiwe Ombaomba
UGANDA 🙏🙏

@rollymsouth Siwezi kuandamana kwaajiri ya siasa, lakini suala la uchoko linanifanya nijiskie vibaya mno na niko tayari kwa lolote juu ya hii jamii ya kishetani.
Yanii kila nikuktana na taarifa za uchoko, natamani kufanya lolote.! Kama kuna kikosi cha kupambana na #Ushoga niko tayari ku join.
Pinga #Ushoga kwa kila nguvu na kila hali uliyonayo. Ni kinyume na maadili yetu na udhalilishaji usiokubalika katika tamaduni zetu
Tukizungumzia malezi bora kwa Vijana wa Taifa hili 🇹🇿 halafu tukaacha kuzungumzia suala la vitendo vya #USHOGA eti kwa kuwa ni faragha ya mjue tu tunaandaa bomu linaloesabu sekunde tayari kuripuka @ummymwalimu @wizara_afyatz @neemalugangira @DrMabula @CarolNdosi @MariaSTsehai .
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat
Seen from Ukraine
police #sex
Seen from Germany
minichat minichat
Seen from United States
BACeroSwap
Seen from Malaysia
minichat()******************* filter:videos
Seen from Canada
سليمه_سلطانه
maturewomen
Seen from France
happyheart
Seen from United States
minichat(())*********************************filter:videos
Seen from Switzerland
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers















