@RasAzov@CavityDamas23 Wanawake wanakuwaga hatari sana kwenye hayo mambo. Kuna sehemu nimeona ila sijajua kama ni kweli kuwa Iran wanaorusha zile drone ni wengi wao ni wanawake
@Herrybaree@George_Ambangil Inter ndo wabaya na watamsumbua sana Arsenal kuliko Barcelona. Inter wazuri kuzuia na kushambulia kwa Kasi ila Barcelona kwenye kushambulia ni mzuri sana ila kuzuia sio mzuri sana kama Inter
@sharmukesh999@web3_marine@FabrizioRomano Hahaha luck? Before mbape to get that injury have you noticed Madrid didn't have any on target. You have to appreciate what Arsenal did on the ground