@KennedyMmari Bila kusahau kuongeza, Mwili wenyewe Likuubwaa... yaani unakuta, kwa Mfano unakata kichwa Kimoja cha kidole Tanzania, Ukitaka kukata kichwa cha kidole kingine, lazima uende Kenya π
@KennedyMmari POINT: "kwa sababu kimsingi kila sehemu ya mwili ina kichwa chake"
Yaani, kidole kina kichwa, Macho yana kichwa, miguu inakichwa, Shingo ina Kichwa...
Ukikata kichwa cha kichwa, Kichwa cha Shingo kinaendelea KuControl Shingo πππ