@barackmtulo@callmemugii Umemjibu vyema sana ... kwa biashara ya ndani ya inchi au huko kwao China, hukuna mtanzania anaweza kwenda toe to toe na mchina sio hata yeye anaezunguka kubadilishana namba na wachina.
@flahisha Kama kijana niliyekuwa nikiwa na mtizama na kufatilia Dr Rioba katika midahalo na mijadala ya kimataifa nabaki na huzuni tu. Kweli jikoni kunabadili watu.