Azolla, gugu maji liligeuka mkombozi kwa wakulima, wafugaji na vijana Tanzania
Azolla inachukua siku tatu tu tangu kulimwa na inakuwa imekamilika kuvunwa na kupatiwa mifugo kama kuku, ngβombe na nguruwe.
https://t.co/5LiZgHoeG3
TUMESHINDA!
Nina furaha na heshima kubwa kutangaza kuwa nimeibuka mshindi wa tuzo ya Best Farmer Education and Awareness Campaign kupitia TMSA Awards.
Asanteni sana kwa Kura zenu π±π