@Ms__Celine@lifeofibrahim23 Safi sana mngekuwa mpo 100 kama wewe ingekuwa safi sana dr kujitolea kuelimisha jamii Mungu akubariki ufanikiwe keep it up respect
@Ms__Celine @bwamkuu_mohamed @fandeys Achana nao sasa ungefunika tungejifunzaje?ni sawa unafundishwa science kama physics,chemistry na biology bila kwenda maabara kujionea uhalisia waambie this is science sio ungwini kama history binadamu wa kwanza alikuwa sokwe mbona hawa waliopo hawabadiliki four kabisa
@EngMapundajr@Adventure_36 Zitakuwa zimepishana headroom na tpa kutoka floor mpaka floor nakumbuka Tpa head room ilikuwa 3750mm na ni 35 storey building kama hilo la sam mjoma hiyo sijui la sam mjoma headroom ni ngapi kama itakuwa kubwa basi height yake ni kubwa so ndo litakuwa refu kuliko tpa .
@nicolaus_aloyce@Adventure_36 Yote sawa tpa ni 35 storey na samjoma ni 35 storey pia ila location ni tofauti na pspf ii ni 33 storey zile twin tower kwenye hizo project hasa tpa na pspf ii nilikuwa kwenye huo ujenzi kama site engineer nayajua vizuri
@Deborah0420@chevi_masta Duu hapo sasa ndo naanza kufunguka akili kuna mtu aliniambia niingie kwenye vikoba tena yuoo kwenye group la tuliomaliza secondary aisee nilikataa baada kumuuliza inahusika na nini nilivyokuja kujua mi ishu za mikopo sipendagi kabisa sasa hapa ndo naelewa athari zake kwa nini