WEKA VEMA KWA MWABUKUSI.
Kataa wengine wote hao. Umesomea sheria ili uje kutetea haki za binadamu. Tuonyeshe kwa vitendo kwa kumpigia kura MPIGANIA HAKI WA KWELI MWABUKUSI.
Naomba repost 200 kwanza wakati naendelea kusubiri mabango rasmi ya MGOMBEA RAISI TLS MWABUKUSI.
"Lakini katika mambo hayo yote tunashinda na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda".
HONGERA SANA MPIGANIA HAKI WAKILI @Mwabuk2Boniface Mapambano yanaendelea..
"Kesi ya Wakili Mbobezi @Mwabuk2Boniface na TLS ni vita Kati ya HAKI na DHULUMA, lakini siku zote HAKI HUSHINDA. @Mwabuk2Boniface Nakutakia USHINDI kwenye rufaa yako itayosikilizwa Tarehe 17/07/2024"~ Askofu Mwanamapinduzi #IstandWithMwabukusi💪