HISTORIA YA ARDHI YA ISRAEL
1. Mwaka 3000 – 2500 B.C – Wapagani waliishi katika ardhi hiyo, wa mwisho kumiliki eneo hilo waliitwa Jebulites.
2. Mwaka 1000 B.C – Mfalme Daudi (David) allliteka eneo hili, aliliita mji wa Daudi.
BREAKING: Umati wa watu wavamia mpaka wa Israel na Yordani.
Idadi kubwa ya Wajordan, Wapalestina na Waarabu wengine waanza kuvunja mipaka ya Israel. Walinzi wa mpaka wanajaribu kuzuia uvunjaji huo na kutumia mabomu ya machozi kwa raia. Hapo awali viongozi wa Jordan walisema hawataruhusu maandamano katika mpaka na Israel, lakini hilo halijawatia hofu watu na wanaendelea kukusanyika katika mitaa ya miji na vitongoji vya nchi hiyo.
5 laws of the universe that are surprisingly accurate:
1. Murphy’s Law
Anything that can go wrong, will go wrong.
2. Kidlin’s Law
If you can write a problem down clearly, you’re already halfway to solving it.
3. Falkland’s Law
When there’s no need to make a decision, don’t force one.
4. Wilson’s Law
Prioritize learning and knowledge, and money will eventually follow.
5. Gilbert’s Law
It’s your responsibility to find the best way to achieve the result you want.
"La mamma morta" (The Mother is Dead)
Beautiful Aria ilichezwa na Dada mmoja anaitwa Maddalena; anasema wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa Nyumba yao ilichomwa moto na mob, anazungumza kuwa mama yake alikufa wakati akijaribu kumuokoa. Anasema baada ya hapo alikabiliwa na hatari ya kuuwawa kila wakati maishani mwake na kupoteza tumaini la kuishi kwani alikuwa na hofu kila mara. Anaendelea kusema kuwa alipoteza kila kitu maishani mwake akabaki bila kitu kabisa.
Kisha, kwa namna ya muujiza, alikutana na Andrea Chénier, mshairi. Upendo wake ulimpa tumaini na kuhuisha roho yake. Katika giza, upendo ukawa mwanga uliookoa, ukimpa sababu ya kuishi.
Anaishia kwa kutangaza kuwa, hata mbele ya kifo na kupoteza kila kitu alichokipenda, upendo wenyewe ni wa milele. Maumivu yake yamegeuzwa kuwa nguvu ya kihisia inayopitiliza.
Fernand Arbelot (1880–1942) alimpenda mke wake kwa kina sana kiasi kwamba alitaka kubaki ameunganishwa naye milele, hata baada ya kifo chake.
Kwa hiyo aliomba kaburi ambalo lingemruhusu kuendelea kumtazama uso wake milele.
Mchongaji wa Kibelgiji, Adolphe Wansart, alitengeneza kumbukumbu hii ya kipekee: Arbelot amelala kwa umbo la jiwe, akiwa ameshika kwa upole uso wa mke wake mikononi mwake, kana kwamba anakataa muda kuwatenganisha.
Kwenye kaburi hilo kuliandikwa maneno mafupi lakini yenye nguvu:
“Walishangazwa na safari nzuri iliyowaongoza hadi mwisho wa maisha.”
Hata katika kifo, hakuwahi kuacha kumtazama mwanamke aliyempenda.
She wasn't acting. And Ledger knew it.
Heath Ledger refused to do the full Joker in rehearsals. No voice, no laugh, no mannerisms. Christian Bale confirmed Ledger only turned the character on when cameras rolled. The cast had no idea what was coming.
This is the party scene. Ledger is holding a knife to Gyllenhaal's face telling a fake story about his scars. Gyllenhaal couldn't maintain eye contact. She was genuinely trying to pull away from him. She was silently looking at Nolan to stop the scene.
Ledger saw her break eye contact and improvised the line "Look at me." Four syllables that turned a scripted scene into something nobody on set could control.
Michael Caine forgot his lines the first time he saw Ledger in full Joker. A 75-year-old actor with 130 films on his résumé, and his brain locked up. Caine wrote in his memoir last year that Ledger was "a lovely guy, very gentle and unassuming" between takes. Skateboarded around set. Then the camera turned on and everyone on the crew froze.
The film made $1 billion. Ledger won a posthumous Oscar, only the second actor in history to do so. He died six months before the movie opened. He was 28.
The performance that redefined what a villain could be in a studio film was built on a simple trick: never let your scene partners rehearse against the real thing. When they finally see it, you get something a director can't manufacture. Actual fear on actual faces.
That's what Nolan saw through the monitor. And that's why he didn't say cut.