Nchi hii nzuriiiii je haina wasomi wengne Zaid ya Hawa ...maana mbona kila sku wao tu?....sisi wengne tutarithishwa na nani? Tujifunze wapi uzoefu tuutoe wapi kama kila sku ni nyie tu?
@0101DUBU Ni kweli kabisa hii inaitwa malformed vargina ambayo huwa imezibwa na misuli huez kupenerate pia nmewah kumeet na mwanamke wa hivi suluhisho huwa ni operation japo sjajua ukiwa mtu mzima hvo km inawezekana sjui naomba ajaribu kuwachek madaktari bingwa wa masuala ya wanawake
@AdvocateKondele Hapo ilibidi ufafanue kuwa sheria hyo ya 1/3 inatokana na Hadith za saad ibn abi waqqas katka maandiko ya kiislamu watakwelewa lkn ukisema Mohamed law lazma wakusumbue maana hakuna kitu kinaitwa hvo ktk mirathi
@nulphin@chiefodemba nkukumbshe mdahalo wa television unapangiwa muda wa kuzungumza kila swali linatumia dakika limited Kila jibu linatumia dakika limited sas muda wa kusubir uulize chip in questions sjui unaweza kuupata wap kumbka kuna maswali yanayoandaliwa na kuna maswali ya papo kwa papo
@nulphin@kapeto98@chiefodemba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kwani hukujifunza kuwa kuna baadhi ya conversation zinahitaj ku chip in kabla mzungumzaji hajaendelea????
Kuna baadhi ya maswali unatakiwa kuuliza hapohapo ili kupata clarification maana kama utakaa kimya hupati majbu yaliyostahili muda huo