@kigogo2014 Haiwezi kuwa huru maana CCM hawaja zoea ustaarabu zaidi ya dhuluma. Kupanga mstari ,kuchagua,kuhesabu kura na mshindi kutangazwa na akina Mgaja wakiwa hai haiwezekani kabisa.
@kigogo2014 Sasa hutaki kuamini kua bila chadema mambo ya kupigania haki hayaend amin usiamini chadema ndo kilakitu kwa sababu chadema ndo yenye watu wenye akili timamu na wanajitambua.kila jema likija ni kwa sababu ya chadema ndo sababu wengine wapo ndn na wengine wakimbizi
@kigogo2014 Eti tume ya uchaguzi yaja. Lini? Ndio maana vyama vilivyo shiriki vyote wanaonekana wanafiki. Tume inatokea mbinguni ndio maana wakati haujulikani? Ahadi zisizo kuwa na specific time nani anataka kusikia upuuzi huo? Agenda na ahadi za michongo tu. Hatu danyayiki.
@monalisandala@godbless_lema Kimsingi Zitto anazingua...
Katika mazingira tofauti Zitto amedhihirika kuwa msaliti. Anzia bunge la Katiba, Wakati wa ufunguzi wa bunge 2015, na nyakati nyingine nyingi tu amekuwa akisaliti makubaliano na vyama vingine.
@SuphianJuma@Nnauye_Nape Hivi wewe unajua maana ya upinzani?,,, kwa hiyo ulitaka upinzani wawe wanabariki kila anachokifanya raisi,,,,, huo ndio ujinga Mlionao hamtaki kukosolewa, upinzani nikupinga nakukosoa kilakitu ndugu kama hujafahamu nenda shulee.....
@SuphianJuma@Nnauye_Nape Suphian Juma tulizana basi tumeshakuelewa. Unajua unachosha sana kila ukitaka kujamba unatamka CHADEMA. Sisi tuliopitia chipukizi hatuna hulka hizo. Tuko bize kuandaa viongozi wajao
@SuphianJuma@Nnauye_Nape Unapo points finger kwa mtu mwengi angalia vidole vingapi vina point upandewako, kijana acha sera za kinafiki, mlimpiga Tundulisu Risasi, mnawafunga wapinzani na mwenyekiti wao mmemshikilia, kila watakasema wapinzani mnapinga mnaona CCM tu ndo wenye mamuzi peke.Acha kukurupuka
@SuphianJuma@Nnauye_Nape Na chama chako mission na vision yake nini kuharibu mfumo wa kidemokrasia na kutengeneza vyama badia kulaghai umma, fungua macho ona kijana tazama mbele zaidi
@Nnauye_Nape Mliteka hadi wagombea wenzenu na kuwapora form za kugombea ,leo mnataka cdm waende kupiga picha na rais? Mbowe amefungiwa kwenye kuta za magereza bila hatia ,halafu mnataka muuonyeshe ulimwengu kwamba Tanzania kuna demokrasia?
@Nnauye_Nape Hakuna ukomavu hapo watu wanaongozwa na tamaa tu za kijinga. Kama mtu anahaki ya kuzungumzwa lakini imefinywa kama sio kuzibwa kabisa lazima aoneshe msimamo. Msimamo ni kukataa kushiriki uhuni wa wahuni kwa namna yoyote na sio kula nao wala kushiriki nao matunda ya uhuni huo.
@tolemongikoro@Ombudsmanlife@Nnauye_Nape Mbowe atoke ili muweke kibaraka wenu CDM? Mbowe ni mwamba kahalibiwa mali zake nyingi sana lakini hajaunga mkono juhudi