@KawawaHope86423@AbroadTanzania Halotel wahuni walifunga line yangu ikiwa hewani kisa sijaikwekea salio muda mrefu tangu siku hiyo nilisema siwezi rudi tena kusajili line ya Halotel
@HumbiMohammed@Mungu_bab@Lukengelo_ Sikatai nawapa heshima lakini most of GPA nyingi na kubwa lakini wengi wao wamezipata kwa kutengeneza formation na vijiji kwenye mitihani na wakazipata lakini ukiangalia uwezo wao baadhi ni mdogo sana hadi unajiuliza huyu alipataje hii GPA??
@Mungu_bab@Lukengelo_ Hizo interview za utumishi unaweza zidiwa hata na mwenye GPA ya mbili...huenda wasingeweka kigezo cha GPA hapo watu wangefanya wengi na huenda kuna mtu angepata above ya hizo marks hata 60 and above