@mrBenPeter@FidQ @FumboKhan2019 @Big0047@CharlieBihemo@Njamasi_@DejohB @Tarimo88033407 @Golan_jay @Jackson95310273 @charles_farao Sipigi kila dili mipaka imezingatiwa/
Sitaki kua tajiri nataka kufanikiwa/
ili kuheshimiwa kwanza lazma ujiheshim/
lkn kufanikiwa ni maujanja tu co lazma elimu/
@HabariTech Elonmask na ile Neuralink company yake kuna progress wameianza ambayo wanataka wawe wanachukua data kutoka kwa human kwenda kweny computer and vice versa.. kwaiyo Possibility kuishi kiakili though itachukua mda . hata mwaka 2999 au 3001๐๐