@Isayadicksonjr@makumbawaleo_5n Mimi huwa nawaambia miaka 25-33 yrs men kwa Africa tunaona hatujawa tayari kuoa, ila amini ukifika 35 usipokaa poa unajikuta 40+ hauna mke, watoto wala nyumba๐๐
Don't ask about my income/salary, ask me how many nights I've stayed awake, how many meals I've skipped, and how many moments with my beloved family I've missed. #LifeOfMedicine ๐๐
@Dr_Thadeus_19@LukumayNjau Vitu vingine mnajisumbua tu kuuliza vichaa๐๐..unahangaika na kichwa maji tu mkuu, usijisumbua muache aamini anacho amini
@bahati_lusako@Mnyanda4@kapeto98 Ndugu, bei zikijulikana hakuna anayelalamika. Kuwe na bei elekezi uone kama kuna malalamiko. Ila kutaka kujinufaisha wakati wa madhira lazima watu waongee.
@Mnyanda4@kapeto98 Left hemisphere of your frontal lobe is not well functioning. Jitafakari. Unaambiwa root ya 1k wana-charge 2k. Wakati huo bei imeongezeka 1k kwa lita. Na Lita moja sio kuwa anatumia hiyo root moja. Tumia simple mathematics mwanetu. Boda wanazengua sana.
@SsanAlly@AbroadTanzania Tanzania usenge ni mwingi sana. Tuna-entertain umasikini na ufukara. So, mtumishi wa umma Tz ni sharti awe masikini ndo awe muadilifu? Yaani Tz ukiwa mtumishi wa umma basi wewe kuwa fukara ndo watu wafurahi๐๐
@MkulimaKante@Kil0voltI Mkuu, unaambiwa aliyeishia la saba yupo bungeni, mwingine anamiliki maduka pale K/koo, mwingine yupo nje ya nchi anaingiza mizigo nchini. Wale vibanga wanahangaika na TGS, Kiatu kimechubuka na kimeinama upande mmoja. ๐ญ๐ญ๐๐
@MkulimaKante@Kil0voltI Sema nini, jamii ndo ilitulisha matangopori. Mifumo mibovu ya Elimu yetu bado inatuandaa kuajiriwa na sio kujiajiri. Hii comeback ya ukuaji wa technology ndo inaanza kutufungua macho. Lakini Ms kante, usiwaambie machalii waache Elimu. Elimu ni muhimu sana.
@MkulimaKante@Kil0voltI Oyaaa kante wa mchongo ๐๐ unatikisa meza yenye vinywaji ghari sana. Usikatishe tamaa machalii. Maisha hayana formula, unaweza kusoma art's or whatever lkn bado usitoboe. Maisha hayaeleweki haya mkuu. Na si kila anayefanya kazi online ame-win mkuu๐
@AbdulAlly253493@Vanysimba@StillSoberX Kwa kifupi ni kuwa Elimu na Utajiri havina uhusiano wowote. Unaweza kuta watu 2 wenye elimu sawa, kazi ile ile, familia walizotoka ni za kawaida kabisa lakini wanatofutiana maisha.