@pendotabu48@Sativa255@its_jonahsophie aisee umetusema sana mkuu ila sio kweli, kila kabila lina watu wenye roho mbaya, wenye dharau na ushirikina. huyu atakuwa sio mkerewe halisi, katika vitu wakerewe wanaogopa ni KUUA(LICHUMU), mkerewe akijua umeua anakutenga(msilo) lakin simtetei mafwele